imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Asante Mkuu kwa kumpa Taslimu huyo Mbojo.Hakuna ubaguzi acha porojo watu wasingeenda ...Ubaguzi upi au umezaliwa mwaka 2000..Sehemu yenye ubaguzi hata kwenda huwezi kwenda wala walikuwa wakisema wabara wana vichongo , wakija huku tunawaita wazenji wamelegea wazee wa urojo.
Huu ni utani wa karne miaka kibao.. kubaguliwa ulipigwa ukauliwa ,ulikosa huduma kisa ni mbara?