Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

Hakuna ubaguzi acha porojo watu wasingeenda ...Ubaguzi upi au umezaliwa mwaka 2000..Sehemu yenye ubaguzi hata kwenda huwezi kwenda wala walikuwa wakisema wabara wana vichongo , wakija huku tunawaita wazenji wamelegea wazee wa urojo.

Huu ni utani wa karne miaka kibao.. kubaguliwa ulipigwa ukauliwa ,ulikosa huduma kisa ni mbara?
Asante Mkuu kwa kumpa Taslimu huyo Mbojo.
 
Waziri angenipa leseni namimi nivumbue Bia ya aina Zinjbaria Lager
zanzi.jpg
 
Ati unaambiwa usinywe Pombe ya Duniani subiri mpaka UFE halafu utaenda kunywa huko MBINGUNI.🤨🤨😝🤣🤣

Mimi nasemaga hivi CHANGANYA NA ZAKO Ulabu ni hapa hapa Breweries nyingine Stori tu.

Ila kunywa kistarabu.
Kunywa kistaarabu ndio kukoje kwamba usinywe hadi ukawa mlevi kupindukia ikawa madhara kijamii au usinywe hadi ukapata madhara ya kiafya?
 
Kunywa kistaarabu ndio kukoje kwamba usinywe hadi ukawa mlevi kupindukia ikawa madhara kijamii au usinywe hadi ukapata madhara ya kiafya?
Usiwe Alcoholic kwamba inafikia hata hela ya matumizi huachi nyumbani,na pia usinywe mpaka kujinyea
 
Ndio mkuu Saudia ni nchi kama nchi zengine na hufanya maamuzi yake kama nchi zengine, Saudia kuruhusu pombe haina mahusiano na dini ya uislamu na ndio maana hauoni kelele kutoka kwa waislamu.
Uislamu ni dini ya Taifa Kwa Saudia. Ni zaidi ya tamaduni kwao. Uamuzi wa utawala wa Saudi ni sheria hata kama wahafidhina(wenye msimamo mkali) wakipinga ni kazi Bure . Kwamba hatuoni kelele, ni vile hakuna namna utaweza kusikia ripoti za kupinga maamuzi ya mtawala kwenye vyombo vyao vya habari. Hakuna nafasi hiyo, na wala hawaoni hatari kukupoteza Kwa kumpinga mtawala.
 
Sasa huo mfano wa Saudia ulikuwa na maana gani katika hii mada?
 
Mzee Shamte na wazee wengine wafunguka kujiuzulu kwa waziri wa utalii na Mali kale

View: https://m.youtube.com/watch?v=YwDwiLS6JAA

Wasema vinywaji hivi vikali zinachangia 25 % ya mapato yote ya SMZ mbali ya pia kuwaliwaza wenyenji mitaani na wageni wa sekta ya utalii.

Wasema industry hii kuwezi ukampatia mtu dili la kuagiza vonywaji hivi ghafla bin vuu, manake kuna mikopo ya benki, insurance, maghala ya kuhifadhi, usafirishaji na ubora wa bidhaa hivyo maamuzi kama haya ni bora wangeuliza wazee maalwataan mambo yanakwendaje ili isitikise sekta ya mahoteli, utalii na burudani ambayo ndizo zinabeba uchumi wa Zanzibar kwa kiwango kikubwa ....
 
Hivi zanzibar gani hiyo iliyopiga hatua au kuna nyingine mm sijafika . Hii zanzibar inayoongoza kwa uchafu mlandege mtendeni michenzani zinanuka balaa mimaji michafu kama yote .wazanIbar ndo waafrica pekee wanaolala kwa kula bofro na chai maisha magumu sana mateja wamejaaa .wazenji wengi wachafu .wapemba wengi wanamakegete .wenye maisha bora ni wale wenye asiri kama waarabu ila hawa weusi ambao ndugu zetu wanatia huruma
Hupo sahihi Zenji life humu sana, watu wanapigwa pass ndefu sana, kukalia maboflo kawaida,
 
Back
Top Bottom