Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
HupatiTunatuma wapi maombi ya hiyo nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HupatiTunatuma wapi maombi ya hiyo nafasi
Hupati
Wewe ni mbaguzi na mshutumaji una shutumu watu
Wewe ni mbaguzi na mshutumaji una shutumu watu
kadri siku zinavyokwenda mbele humu ndani ndio nazidi kujifunza ya kwamba watanzania bara walio wengi wanapenda kuchangia habari zinazohusu zanzibar bila ya uelewa wa jambo husika.Habari aina uhusiano wowote na Zanzibar kuzuia pombe, wala imani yake kuhusu pombe kama sababu ya waziri kujiudhuru.
KwannMuungano uvunjwe.
Huu ni ukweli mchungu,viongozi wengi ni hedonistic in nature,they may have positive change to accomplish but with time they're all consumed in fleeting stuff and forget what's it's all about.Viongozi kujiuzulu zenji rahisi maana hawana makuu hawali mastarehe wao niwashika dini,wala urojo,gahawa na visheti. Huku bara mtu hajiuzulu ng'oo atakubalije kujiuzulu akose rushwa,pombe,mademu,makuku choma,malive band,mandinga,majumba hawawezi ajiuzulu kiboya
Asiyembaguzi wapo sibagui mwanadamuSikatai!
Mimi ni mbaguzi lakini inategemea nabagua nini.
Hakuna binadamu asiye mbaguzi
Kwani Zanzibar hairuhusiwi kuuza pombe?Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Simai Mohamed Said ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo usiku...
Jengo juzi limeua watu ,sekta ya utalii mwaka jana ilipata kashfa ya kumleta yule jamaa ambaye ni shoga ili awatangaze[emoji1787][emoji1787]
Mojawapo ni kampuni yake na ndugu zake ambayo ni wasambazaji wakubwa wa pombe Zanzibar (ZMMI) kuzuiliwa. Period.Ukweli watu wanagombea Dili la usambazaji.