Mkaldayo Aisee usiamini hizo mambo. Tujikite tu kwenye ma call na escorts girls tu.Nilikuwa nime-tunein to Cloudsfm Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo...
Alienda kuwaambia benki kuhusu hizo millioni 700?Ananikubusha mzee mmoja Arusha yupo hadi sasa ni ndugu yangu, Yule Mzeee ana Bahati za Kipekee niseme, make kuokota pesa tu alisha okota sana na anarudisha, alishaa wahi ingiziwa kimakosa milion 700 kwenye account yake halafu ni acvount ambayo alikuwa haitumii na hakuna na ile huduma ya kupata sms kama kuna pesa imeingia au kutoka, siku amekuja kugundua ni muda,
Kuna Bahati Moja alipewa Gari Jipya kabisa hizi TATA New Model ila aliipata vipi ni story ndefu kidogo
Mwenye huo mzigo aliojiwa na aliyeziokota na akasema hayo yote, kwa jinsi habari inavyosema.Hii story niliisikia toka last week ila kama imekaa kibiashara biashara.
Alieokota mzigo alijuaje kuwa huo mzigo wa pesa ilibidi jini ndio auchukue??? Hayo mambo yote alijulia wapi? Au ndio baada ya kumpata mwenye mzigo alimchana kuwa alienda kununua jini!!
[emoji3][emoji3]Ungekuwa Oman huko mzee unalinda biashara za watuZanzibar inajijua ilivyo, vitu vya kuokota okota ovyo na kutumia kule unakuwa msukule. Watu kule hela za kuokota wanaziogopa kama ukoma japo kwa jinsi nilivopigia hivi, ningekuwa jini tayari huko Oman [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mana najua nisingezitangaza na ningezitumia tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan ata jero nisitumie?