Huenda wanamsemeaHii story niliisikia toka last week ila kama imekaa kibiashara biashara.
Alieokota mzigo alijuaje kuwa huo mzigo wa pesa ilibidi jini ndio auchukue??? Hayo mambo yote alijulia wapi? Au ndio baada ya kumpata mwenye mzigo alimchana kuwa alienda kununua jini!!
Kwa kweli [emoji122][emoji122][emoji122]Kumbe biashara ya majini inalipa eee!? Basi msiwaseme watumishi wa BWANA YESU kuwa wanapata pesa nyingi wakati watu wanatoa sadaka 500 500 na elfu moja moja! Wakati huko mnauziana mpaka 150 milions!
Biashara gani wanatangaza?Wanatangaza biashara hao. Siunaona mleta mada kama ushaanza kuamini amini hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa wa Oman si angeambiwa aje aziache huku Kaskazini, Arusha au Moshi maana huku pia wangemsaidia kuzirudisha
Aliongeza ya nin wakati alimwekea kwa akauntHivi mbona katika story nzima sijasikia huyu shekhe kama amekatiwa pesa ya shukrani kwenye hiyo m.150?sanasana eti yeye ndie ametoa 170,000 ya kwake mfukoni kulipia gharama ili mzigo ufike kama ulivyookotwa m.150 jaman wema usizidi uwezo sijui labda kama amekatiwa kiasi....kama nawaona wakuu wengi hapa hata manyumbani Siku hiyo wasingeonekana ni kuhama mkoa SAA hiyo hiyo asije akakamatwa..hhaahaaahaaa chezea asilimia 10 ya bilioni weeee...a subutuuu....nasema uongo ndugu zangu?