Zanzibar: Tsh. 150M zilizookotwa zarudishwa. Biashara ya kununua jini yahusishwa

Zanzibar: Tsh. 150M zilizookotwa zarudishwa. Biashara ya kununua jini yahusishwa

Nilikuwa nime-tunein to Cloudsfm Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo...
Huyu jamaa wa Oman si angeambiwa aje aziache huku Kaskazini, Arusha au Moshi maana huku pia wangemsaidia kuzirudisha
 
kwa wale wqnaohitaji majini ya bei za kawaida kuanzia 3M mpaka 7M tunapatikana Bububu kituo cha Polisi.

Kwa mawasiliano zaidi piga 11111111111
 
Hao wote usikute wanajuana, wanafanya tu kutuchezesha kombolela ya Uswazi
Uchumi mbaya na kukithiri kwa umasikini ndio kunafanya wengi kushangaa kilichotokea, lakini ni jambo la kawaida tu hasa kwa nchi zilizoendelea.

Japan watoto wadogo toka nursery school wansimbishwa, ukiokota pochi sio yako unapeleka wapi?
Polisiiiii.

Had I Leo ukipoteza pesa kiasi chochote Tokyo una 90% ya kuzipata tena hasa kama umeweka contacts number zako mule ndani ya wallet
 
1613461036128.png
Msamaria mwema Mkazi wa Unguja, Zanzibar Suleiman Bakari Ramadhan Akida amefanikiwa kuzirejesha Tsh. MILIONI 150 kwa Mmiliki wake halali baada ya kuziokota zikiwa zimepotezwa

"Tulishirikiana katika swala zima la kusambaza tangazo la uokotwaji wa pesa katika kisiwa cha Unguja”

“Changamoto zilikua nyingi na nimepigiwa simu sana wengi wanasema wamepoteza lakini nimempata Mmiliki wake ambae ni Raia wa Oman baada ya kujibu maswali likiwemo la pesa zilipotea zikiwa kwenye mfuko wa aina gani, tayari nimeshamtumia kwenye account yake na nimelipia 170000 ya ziada ili tu azipate pesa zake zikiwa kamili MILIONI 150"

Chanzo cha habari ni Millardayo
 
Basi tu kwa ninavyojijua nisingerudisha ningejua umaskini umeisha😆
 
Nilikuwa nime-tunein to Cloudsfm Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo....
Huyo raia wa Oman,aliamini aliyeokota ndo jini mwenyewe ,Kama alivyoelekezwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Znz bado binadamu wanaishi kule..na muokota pesa alizitangaza hadharani tens mbele ya nyumba ya ibada!
huenda ndo jini mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23],maana mu Oman alielekezwa jini atazipitia[emoji3555][emoji3555][emoji3555][emoji3555]
 
Aliyekwambia Nani?? Kwa hii michango ya kina mwamposa ukijumlisha kwa mwaka inakribia hiyo hela
Sasa hiyo ni biashara ya jini ulinzi, huyo mwamposa mpaka ukajumlishe leo hiyo? Acha utani hiyo biashara inalipa kabisa!
 
na nimelipia 170000 ya ziada ili tu azipate pesa zake zikiwa kamili MILIONI 150
Hapa ndio story inaonesha kuwa kuna walakini 😀 Halafu mie sijawahi kusikia hilo tangazo la mtu aliepoteza 150M na nipo visiwani?
 
Back
Top Bottom