Zanzibar: Tsh. 150M zilizookotwa zarudishwa. Biashara ya kununua jini yahusishwa

Zanzibar: Tsh. 150M zilizookotwa zarudishwa. Biashara ya kununua jini yahusishwa

Hakika,

Ila Zenji hutakiwi kuweka tamaa mbele unakuwa jini[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan ata shilingi mia hutakiwi kuiwekea tamaa eti uokote.
Kuna jamaa alileta story humu ndani kama sijakosea aliokota kidani sijui na kina madini kama urembo,akakimbia kuuza kwa sonara..baada ya kuuza alipatana na songombingo la hatari..full mapicha picha,kumbe kile kidani ni jini eti limehifadhiwa
 
Ili wafaidike nini?..unadhani kunaweza kuwa na biashara gani?..
Biashar ya majini hewa!! Unaambiwa bei ya hili jini dume ni milioni 200, ila tutakufanyia milioni mbili tu,ukianza kutoa macho wanajua huyu pimbi hana hizo,unaulizwa " kwani we una shing ngapi hapo mfukoni?"

Unajibu " buku hamsini wajuba" wajuba wanakuambia " jipigepige we mgoroko,hili jini dume tunauzaga hadi milioni 500 jombaa,tinakufanyia fea tu kwa ajili we ni msela,haya sema hela ingine unatoa lini?"

Unawaambia ngoja nikacheki michongo ikae fresh kwanza halafu ntaleta tu wan'ganda wangu,msilie wala nini,basi ile unatoka na vimajivu majivu na unga wa mkaa wa mti ulaya mara yule maalim anakuita tena," hebu ongeza hata teni kichaa wangu.

Hii mambo ya kusema utaleta siyo mpango kabisa bingwa," unamkamatisha teni,anakiambia tena " sasa wale mapimbi wangu pale kilingeni usiwaambie kama umenitoa na teni,we sepa tu kamanda,hii ngoja nkacheki kitimoto chimbo flani hivi,!!!!!! Unakuwa umeshaliwa tayari!!! Kiulainiiiiii!!
 
Ili wafaidike nini?..unadhani kunaweza kuwa na biashara gani?..
Biashar ya majini hewa!! Unaambiwa bei ya hili jini dume ni milioni 200, ila tutakufanyia milioni mbili tu,ukianza kutoa macho wanajua huyu pimbi hana hizo,unaulizwa " kwani we una shing ngapi hapo mfukoni?"

Unajibu " buku hamsini wajuba" wajuba wanakuambia " jipigepige we mgoroko,hili jini dume tunauzaga hadi milioni 500 jombaa,tinakufanyia fea tu kwa ajili we ni msela,haya sema hela ingine unatoa lini?" Unawaambia ngoja nikacheki michongo ikae fresh kwanza halafu ntaleta tu wan'ganda wangu,msilie wala nini.

Basi ile unatoka na vimajivu majivu na unga wa mkaa wa mti ulaya mara yule maalim anakuita tena," hebu ongeza hata teni kichaa wangu,hii mambo ya kusema utaleta siyo mpango kabisa bingwa,"

Unamkamatisha teni,anakiambia tena " sasa wale mapimbi wangu pale kilingeni usiwaambie kama umenitoa na teni,we sepa tu kamanda,hii ngoja nkacheki kitimoto chimbo flani hivi,!!!!!! Unakuwa umeshaliwa tayari!!! Kiulainiiiiii!!
 
Mkuu zanzibar sijawahi kufika ila dada yangu amewahi kufika kwenye haya mambo ya tour guide, bwana yeye aliokotaga sh mia ila shida aliyokutana nayo c mchezo, kama c maza kuwa mwepesi kwenda nae kwa watalamu ingekuwa ndo bc tena. Mpk dada akaachanaga na hayo mambo ya tour guide. Ko hata leo hii nikienda huko zenji actually lazima niache uhuni na ubishi wangu huku mbeya😆😆😆😆😆
Kuna jamaa alileta story humu ndani kama sijakosea aliokota kidani sijui na kina madini kama urembo,akakimbia kuuza kwa sonara..baada ya kuuza alipatana na songombingo la hatari..full mapicha picha,kumbe kile kidani ni jini eti limehifadhiwa
 
Mkaldayo Aisee usiamini hizo mambo. Tujikite tu kwenye ma call na escorts girls tu.
Biashara nyingine unanunua bidhaa ambayo ni ghaibu..! Hivi utajuaje kuwa sasa tayari ushanunua jini? Kama si mshikaji kutaka kukuzunguka baadae anazichukua yeye anakufuata mguu kwa mguu nyuma
 
Mzee biashara zako zinaenda poa sio with aid ya haya makitu?
Ukiyajulia kila kitu ni simple tu binafsi majini naona kama ni kitu cha kimasihara maana hata hizi namba 1-9 kuna mpangilio ukizipanga jini tayari zenyewe tu bila kugusa chochote hail hail again mvumbuzi wa PAITHAGORAS
 
Hivi mbona katika story nzima sijasikia huyu shekhe kama amekatiwa pesa ya shukrani kwenye hiyo m.150?sanasana eti yeye ndie ametoa 170,000 ya kwake mfukoni kulipia gharama ili mzigo ufike kama ulivyookotwa m.150 jaman wema usizidi uwezo sijui labda kama amekatiwa kiasi....kama nawaona wakuu wengi hapa hata manyumbani Siku hiyo wasingeonekana ni kuhama mkoa SAA hiyo hiyo asije akakamatwa..hhaahaaahaaa chezea asilimia 10 ya bilioni weeee...a subutuuu....nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom