Mil 700 zilitolewa au????Ananikubusha mzee mmoja Arusha yupo hadi sasa ni ndugu yangu, Yule Mzeee ana Bahati za Kipekee niseme, make kuokota pesa tu alisha okota sana na anarudisha, alishaa wahi ingiziwa kimakosa milion 700 kwenye account yake halafu ni acvount ambayo alikuwa haitumii na hakuna na ile huduma ya kupata sms kama kuna pesa imeingia au kutoka, siku amekuja kugundua ni muda,
Kuna Bahati Moja alipewa Gari Jipya kabisa hizi TATA New Model ila aliipata vipi ni story ndefu kidogo
Hii habari imetangazwa sana tu... .Hapa ndio story inaonesha kuwa kuna walakini 😀 Halafu mie sijawahi kusikia hilo tangazo la mtu aliepoteza 150M na nipo visiwani?
Uko Zanzibar tunaambiwa ni wacha Mungu kumbe hakuna lolote ni wauza majiniNilikuwa nime-tunein to Cloudsfm Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo...
Inawezekana labda sababu sisikilizi radio. Lakini hata kwa watu pia sijasikiaHii habari imetangazwa sana tu... .
Wiki nzima...
sheria ya dini kitu kitangazwe.hapa mim hata niokote i phone pro ile macho matat nasubir upige nikurejesheee simu yako.maisha ya duniya tu hayaZnz bado binadamu wanaishi kule..na muokota pesa alizitangaza hadharani tens mbele ya nyumba ya ibada!
Mkuu, ninasikia watu wa Zenji ni waungwana na wastaarabu sanaZnz bado binadamu wanaishi kule..na muokota pesa alizitangaza hadharani tens mbele ya nyumba ya ibada!
Hiyo iPhone 12 pro unadhani usipoirudisha utaipeleka wapi?..hautoweza kuitumia au kuuza kifaa chochote kwenye hiyo simu..labda tu umpe mtoto achezee..Labda useme simu nyinginesheria ya dini kitu kitangazwe.hapa mim hata niokote i phone pro ile macho matat nasubir upige nikurejesheee simu yako.maisha ya duniya tu haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi nipo zenji Hilo tangazo lilinifikia pia kupitia whAtsap,Hadi leo ninalo kwenye simu yanguHapa ndio story inaonesha kuwa kuna walakini 😀 Halafu mie sijawahi kusikia hilo tangazo la mtu aliepoteza 150M na nipo visiwani?
Mengi yananipita 😀Mkuu Mimi nipo zenji Hilo tangazo lilinifikia pia kupitia whAtsap,Hadi leo ninalo kwenye simu yangu
Nosense.,Nilikuwa nime-tunein to Clouds FM Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo.
Kuna bwana huko Zanzibar aliokota milioni 150 na akaona ni bora atangaze ili aliyezipoteza aje kufwata mzigo wake alikuwa anauliza tricky questions ili ampate aliyezipoteza kweli.
Kuna raia wa Oman alijibu maswali fresh na mzigo ikaonekana ni wake na kwenye maelezo ya aliyeokota hizo fedha anasema huyu bwana raia wa Oman ni mfanyabiashara na alikuwa ameenda Zanzibar kununua "jini" yes jini ili liwe linasimamia biashara zake ziende poa. So aliambiwa na muuza jini kuwa nenda sehemu fulani acha hizo fedha then jini atapita kuzichukua ila sijui jini hakutokea ndo jamaa akaziokota hizo fedha.
Nimeshangaa sana hili la kununua jini kwa 150M kumbe haya mambo yapo serious hivi, nilikuwa nadhani ni mambo mambo tu ya kiswahili Biashara +majini.
===
View attachment 1703572
Msamaria mwema Mkazi wa Unguja, Zanzibar Suleiman Bakari Ramadhan Akida amefanikiwa kuzirejesha Tsh. MILIONI 150 kwa Mmiliki wake halali baada ya kuziokota zikiwa zimepotezwa
"Tulishirikiana katika swala zima la kusambaza tangazo la uokotwaji wa pesa katika kisiwa cha Unguja”
“Changamoto zilikua nyingi na nimepigiwa simu sana wengi wanasema wamepoteza lakini nimempata Mmiliki wake ambae ni Raia wa Oman baada ya kujibu maswali likiwemo la pesa zilipotea zikiwa kwenye mfuko wa aina gani, tayari nimeshamtumia kwenye account yake na nimelipia 170000 ya ziada ili tu azipate pesa zake zikiwa kamili MILIONI 150"
Chanzo cha habari ni Millardayo
Yaani brother, akatoka Omani kuja kununua jini Zanzibar! Daaah biashara+ Ushirikina?Nilikuwa nime-tunein to Clouds FM Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo...
Nifungue mkuuhizi namba ukiziweka katika intergrations fulani zina hatari kuliko bomu
Mkuu hizi namba ni kitu cha hatari sana nambers in certain program can influence any wanted desired force of actions tafuta vitabu vya mbunifu wa paithagoras utajifunza mengiNifungue mkuu
nisaidie list ya vitabu mkuu nikatafute ama nikufate PMMkuu hizi namba ni kitu cha hatari sana nambers in certain program can influence any wanted desired force of actions tafuta vitabu vya mbunifu wa paithagoras utajifunza mengi