Zanzibar: Tsh. 150M zilizookotwa zarudishwa. Biashara ya kununua jini yahusishwa

Mil 700 zilitolewa au????

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu unauziwa kahawa then unalipa tu afu chenji unachukua mwenyewe tu.
 
Na mimi nauza majini,ila mmoja milioni kumi na tano ukiwa kwa mara hiyo mia na hamsini unapata hadi majini wasaidizi,unapata jini wa kukulindia mke au mume,unapata jina la kumsaidia mwanao kufaulu,kiufupi ni wewe tu unataka majini gani.
Alisikika muuza majini mmoja akitangaza biashara yake
 
Hapa ndio story inaonesha kuwa kuna walakini 😀 Halafu mie sijawahi kusikia hilo tangazo la mtu aliepoteza 150M na nipo visiwani?
Hii habari imetangazwa sana tu... .

Wiki nzima...
 
Nilikuwa nime-tunein to Cloudsfm Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo...
Uko Zanzibar tunaambiwa ni wacha Mungu kumbe hakuna lolote ni wauza majini
 
sheria ya dini kitu kitangazwe.hapa mim hata niokote i phone pro ile macho matat nasubir upige nikurejesheee simu yako.maisha ya duniya tu haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo iPhone 12 pro unadhani usipoirudisha utaipeleka wapi?..hautoweza kuitumia au kuuza kifaa chochote kwenye hiyo simu..labda tu umpe mtoto achezee..Labda useme simu nyingine
 
Hapa ndio story inaonesha kuwa kuna walakini 😀 Halafu mie sijawahi kusikia hilo tangazo la mtu aliepoteza 150M na nipo visiwani?
Mkuu Mimi nipo zenji Hilo tangazo lilinifikia pia kupitia whAtsap,Hadi leo ninalo kwenye simu yangu
 
Nosense.,
 
As
Nilikuwa nime-tunein to Clouds FM Amplifaya na Millard Muyenjwa Ayo nikasikia hii stori na imenishangaza kidogo...
Yaani brother, akatoka Omani kuja kununua jini Zanzibar! Daaah biashara+ Ushirikina?
 
Mkuu hizi namba ni kitu cha hatari sana nambers in certain program can influence any wanted desired force of actions tafuta vitabu vya mbunifu wa paithagoras utajifunza mengi
nisaidie list ya vitabu mkuu nikatafute ama nikufate PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…