Zanzibar: Tsh. 150M zilizookotwa zarudishwa. Biashara ya kununua jini yahusishwa

Mimi sikuamini kama ni kweli tukio hilo halikupangwa na wahusika
 
Sio kila mtu furaha yake inategemea pesa, japo kwa watu wengi pesa ni kila kitu.
 
Kuna viwili moja alieokota Anazo pesa nyingi au kunatatizo sehemu
 
"Good luck waits to come to that man who accepts opportunity."
 
Huenda wanamsemea
 
Kumbe biashara ya majini inalipa eee!? Basi msiwaseme watumishi wa BWANA YESU kuwa wanapata pesa nyingi wakati watu wanatoa sadaka 500 500 na elfu moja moja! Wakati huko mnauziana mpaka 150 milions!
Kwa kweli [emoji122][emoji122][emoji122]
Kutwa kuwaandama watumishi na wakati huko kwa shetani wanatoa hela ndefu mno.
 
Kwahiyo jini ndio alikuwa achukue hizo hela ili akazitumie kununua nini? Chai hii
 
Aliongeza ya nin wakati alimwekea kwa akaunt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…