Zanzibar: Unguja kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyover)

Kulazimisha tuu mambo flyover imekua fasheni. Zanzibar kuna foleni gani. Wangeanza kwanza kurekebisha barabara zao nyingi zimechoka

Hapo ndipo ninaposhangaa kwa kweli, CCM wamekua wakifanya mambo ya ovyo sana. Hawana maarifa hata kidogo
 
Hivi huo mkoa mbona unapendelewa sana!
 
Rais Mwinyi anachapa kazi. Miundombinu ndio kila kitu Barabara, umeme, maji, bandari, viwanja vya ndege, ICT. Ana vipaumbele sahihi vitakavyowanufaisha Wazanzibari wengi.
 
Kulazimisha tuu mambo flyover imekua fasheni. Zanzibar kuna foleni gani. Wangeanza kwanza kurekebisha barabara zao nyingi zimechoka
Traffic lights zingetosha kwa maoni yangu. Halafu barabara kama ile ya Bububu ingeongezwa upana japo kidogo au ikafanywa one way kama wameshindwa kuwalipa waliopo barabarani
 
Traffic lights zingetosha kwa maoni yangu. Halafu barabara kama ile ya Bububu ingeongezwa upana japo kidogo au ikafanywa one way kama wameshindwa kuwalipa waliopo barabarani
Kwa jinsi hayo maeneo yalivyo ni sawa na kujenga flyover kijijini. Wameshindwa kuweka traffic lights ndo watajenga flyover?
 
Rais Mwinyi anachapa kazi. Miundombinu ndio kila kitu Barabara, umeme, maji, bandari, viwanja vya ndege, ICT. Ana vipaumbele sahihi vitakavyowanufaisha Wazanzibari wengi.
Hayo magu alikuwa akifanya walisema maendeleo ya vitu
 
Hivi walishaacha haya mambo ya kuning'inia kwenye chai maharage! Hayo madaraja ya juu si yatawamwaga waishe!!
 
Traffic lights zingetosha kwa maoni yangu. Halafu barabara kama ile ya Bububu ingeongezwa upana japo kidogo au ikafanywa one way kama wameshindwa kuwalipa waliopo barabarani

Ikiwa wanwaweza kutumia Bilioni 270 kujenga flyover wanashindwaje kuwalipa watu? Hawa jamaa wameshapoteza dira kabisa.
 
Hivi walishaacha haya mambo ya kuning'inia kwenye chai maharage! Hayo madaraja ya juu si yatawamwaga waishe!!​

☝🏾Hii picha ni muda huu hapa Bububu stendi, hiyo chuma inaenda Pwani Mchangani. Hapo imeichapa overtake Convoy 😁!.

Hayawezi kuachwa mkuu, katika mavitu yanayoitangaza Zanzibari hayo madubwasha pia yanapewa kipa_umbele hata kwenye usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…