Zanzibar: Unguja kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyover)

Zanzibar: Unguja kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyover)

View attachment 2322069
☝🏾Hii picha ni muda huu hapa Bububu stendi, hiyo chuma inaenda Pwani Mchangani.

Hayawezi kuachwa mkuu, katika mavitu yanayoitangaza Zanzibari hayo madubwasha pia yanapewa kipa_umbele hata kwenye usajili.
Huku ndiko wangepelekwa wale traffic police wa Kinana
 
Hayo magu alikuwa akifanya walisema maendeleo ya vitu
Hakuna maendeleo yoyote, popotw duniani bila miundombinu. Ile ilikuwa kwamba watu wengine wanafikiri ukiwa upinzani lazima upinge kila kitu.

Miundombinu ni masoko, shule, hospitali, nk. Ni Kila kitu kinacho-support na kuwezesha biashara, kazi, elimu, Maisha.

Miundombinu ni kama mishipa ya damu kwenye mwili wa binadamu.
 
Si mjitoe kwani mmezingirwa kenge nyie
Wee kima Tanganyika ukihoji tu uhalali wa Muungano wanakuweka ndani halafu tujitoe unafikiria kazi rahisi. This aint no just political matter, this is economic, this is sociological, this is religious. Ingekua Jumbe yuko hai ningekuambia ukamuulize kilichomsibu alipotaka kujitoa kwenye Muungano. Lukuvi pia anakua kwa nn hawataki kutuachia huru.
 
Back
Top Bottom