TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Ingia fastaaaaa.... Unasubiri nini???Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?
Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Ingia fastaaaaa.... Unasubiri nini???
Nasikia wanakutafuta!Bahati mbaya mpaka sasa sijasikia polisi au mwanajeshi amepewa kipigo Cha mbwa Koko na kupelekea ku rest in hell.
Ulitaka watumie nn sasa... Hao wajinga si wameona mawe ni bora kuliko risasi??? Hatutaki malalamiko, ugomvi uanzishe ukipgwa uje utupigie ss kelele huku..idiots.Unajifanya mjuaji huku hujui kuwa risasi inamissfire. Huyu ameonesha risasi ya moto iliyomissfire na kuwa ejected ili kuwaonesha wapuuzi kama wewe kwamba zinazotumika ni risasi za moto.
tumia akili fala wewe kwani wamekwambia hiyo risasi ndo imetumika kuua mbn nyie maccm hamna akili za kujiongeza hiyo risasi ni ushahidi tosha kuwa mnafanya maovu sasa cku mjomba,mtoto,baba,mume,hawara na waukoo wenu wakipatwa na haya majanga usijee kulia lia humu baki na serikali yako hyo ya kidhalimuPropaganda za kijinga, na ni uchochezi!
Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!
Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?
Tell ure husband coward Magufuli we can't defeat, this is beginning!So what...
Hata ukiuona ushahidi utasaidia nini kwa akili zako hizo ?!.Tunataka ushahidi wa picha, maziko sio porojo tu.
Naona unadanganya watu waumizwe?Hata Mabeyo na Sirro wahamishie Vijiwe vyao Zanzibar ACT wazalendo wamesema ni JINO kwa JINO
Unaenda lini huko porini ili wakufuate kukuokoa kabla hujaliwa na simba pia wakunyang'anye silaha haraka haraka!
Msikilize mwanamuziki muruwaaNaona unadanganya watu waumizwe?
We ingia huko msituni hata kesho,tena kesho ndo vizuri maana kibaraka wenu anagaragazwa ile mbayaMahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?
Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Endelea kusikia.Nasikia wanakutafuta!
Pumbavu kabisa wewe, ushahidi Kama ule wa gwajiuno akimkatikia kondoo wake ndio unaoutaka?Tunataka ushahidi wa picha, maziko sio porojo tu.
We ingia huko msituni hata kesho,tena kesho ndo vizuri maana kibaraka wenu anagaragazwa ile mbaya
Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Jaduong acha hasira,hili ni suala zito tunatakiwa kupewa ushahidi wa kutosha sio kuweka picha ya risasi.Hata ukiuona ushahidi utasaidia nini kwa akili zako hizo ?!.