Zanzibar wanashindwa Kuvuta Maji kutoka Dar km 67 tu? Wanakazana kujenga Misikiti

na kwa nini unataka wavute maji yetu wakati sisi wenyewe maji hatuna/ hayatoshi? wakati mwingine huwa siwaelewi watanzagiza, kwenu maji hakuna hapo hapo unapigia chapuo hata kiduchu kilichopo kivutwe kupelekwa zanzibar? kama hawana maji siyo shida yetu kwani hata sisi hatuna pia maji ya kuvukisha bahari wakati huku kwetu hayatoki …
 
Ni jambo la kushangaza sana. Anaona ameleta bonge la hoja.
 
We vipi, Dar wenyewe hawana maji
Dar maji yamejaa tele. Siasa ndo zinafanya kuonekane hakuna maji. Tanzania hakuna uhaba wa maji bali mipango ya serikali haijajikita kuwapa wananchi maji safi na salama
 
Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe)

Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali.

Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you!

Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la kuunganisha bara na Zanzibar.. Wizi mtupu
View attachment 3531724
Mkuu;
Haki ya nani nimecheka mpaka nikaanguka baada ya kuona huu uzi!! Yaani Zanzibar iunge maji kutoka Bara? Maji gani unayozungumza, au ndo umekusudia daraja? Nikukumbushe tu kwamba Zanzibar huwa inatafuta vitu ambavyo hawana na ambavyo huko Bara viko. Bahati mbaya Bara hawana maji. Ingekuwa wanayo, wangelitosheleza jiji la Dar es salaam kwanza kwa maji safi. Ni nani asiyejua kwamba hadi leo jiji hilo lina shida ya maji? Hivyo basi, kwanza jitoshelezeni wenyewe halafu ndo nasi tufikirie kuunga kutoka huko. Kumbuka tu kwamba Zanzibar haitumii maji ya mto kama ilivyo kwa Bara.
 
Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe)

Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali.

Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you!

Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la kuunganisha bara na Zanzibar.. Wizi mtupu
View attachment 3531724
Very very stupid post .. hivi unajua kama Zanzibar ndiyo sehemu pekee ya Tanzania Maji ya bomba ni safe kwa kunywa bila kuchemshwa? Sasa watumie Maji ya ruvu ambayo hata mnyama Hawezi kunywa?
 
Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe)

Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali.

Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you!

Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la kuunganisha bara na Zanzibar.. Wizi mtupu
View attachment 3531724
Kwa taarifa yako, zaidi ya robotatu ya Wakazi wa Dar es Salaam wanatumia maji ya chumvi kutoka kwenye visima vya Dawasa na vya wapemba. Visima hivi vya Dar havina maji yanayostahili kutumiwa na binaadamu au bustani kwani maji yake yanatokana na maji taka ya vyoo, visima hivi Vimesaidi kuwa ondoa wale matopasi wa kupakua vyoo vinavyojaa, siku hizi ni nadra kukuta choo kimejaa.
 
Unasema zanzibar wakati mwanza ambapo ziwa Victoria lipo kuanzia 0km lakini watu wa mwanza hawana maji.
 
Watanganyika mna akili kweli!!!
Nani alikwambieni kama Zanzibar kuna shida ya maji?
Zanzibar wana maji ya kunywa matamu, sio maji ya chumvi.
 
Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe)

Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali.

Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you!

Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la kuunganisha bara na Zanzibar.. Wizi mtupu
View attachment 3531724
JITAHIDI UANDIKE NANURITHI SHEHEE HAYA MAMBO WAACHIE WENYEWE SEHEHEE ELSE JIPANGE NA MAJINI MSOKOTOO
 
Back
Top Bottom