El Gato
Senior Member
- Aug 16, 2019
- 105
- 79
Wewe jamaa sijui ulikunywa maji gani, lakini kwa maji ya serikali (ZAWA) ni safi na matamu hayana chumvi, unakunywa bila kuchemsha bila shida yeyote tofauti na ya hapa dar (DAWASA), kama ulikunywa ya visima mitaani yanakuwa yanatofautiana, mengine matamu, mengine yana chumvi kwa mbali na mengine yana chumvi yakutosha