Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula chuma hikoNimeshangaa bei ya mafuta zanziba petrilo ni 2900 na diesel 3100!
Hawa zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?
Kuna nini hapo katikati?
Na mimi najiuliza kitu kingine utawala wa Mwinyi unatoa wapi fedha za ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa kwa wakati mmoja tofauti na watangulizi wake?Nimeshangaa bei ya mafuta zanziba petrilo ni 2900 na diesel 3100!
Hawa zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?
Kuna nini hapo katikati?
Nimeshangaa bei ya mafuta zanziba petrilo ni 2900 na diesel 3100!
Hawa zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?
Kuna nini hapo katikati?
Jibu ni Moja ewura sio kiwanda Wala kampuni ya mafutaKula chuma hiko
View attachment 2743513
Ukiacha hela ambayo pengine wanapata kutoka Bara hasa zinazopatikana Kwa njia ya Mikopo na programs mbalimbali pia Wana Bajeti ya Bil.800 plus ambayo Kwa Nchi ndogo kama Zanzibar ni pesa kubwa.Na mimi najiuliza kitu kingine utawala wa Mwinyi unatoa wapi fedha za ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa kwa wakati mmoja tofauti na watangulizi wake?
1. Kabomoa soko la Kwereke na La Mombasa, anajenga kwa upya.
2. Kabomoa uwanja wa Amaan Stadium anaujenga upya,
3. Stand ya kariakoo Zanzibar ilijengwa nadhani kuelekea 2020 lakini mwaka huu imebomolewa inajengwa upya,
4. Kaing'oa ng'oa barabara ya uwanja wa ndege na anajenga mpya,
5. Barabara za ndani hivi sasa nyingi nyingi zinajengwa.
6. Mradi wa bandari mpya Mangapwani,
7. Miradi ya majengo mbalimbali unguja
8. Ujenzi wa bandari pale Maruhubi
9. Ujenzi wa masoko ya kisasa Kwa Nyanya na Mkwajuni.
10 ujenzi wa fryover kwerekwe to Amani........
Je huyu mwamba anatumia fedha za kodi pekee na mikopo?
Au Samia hela nyingi kutoka bara anampa????
Wako kwenye mbeleko yetuNimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!
Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?
Kuna nini hapo katikati?
Mmmmh moyo haunipi vyombo vyetu viangalie hili jambo kwa jicho la tatu,Ukiacha hela ambayo pengine wanapata kutoka Bara hasa zinazopatikana Kwa njia ya Mikopo na programs mbalimbali pia Wana Bajeti ya Bil.800 plus ambayo Kwa Nchi ndogo kama Zanzibar ni pesa kubwa.
Na hata ukiaangalia mapato Kwa mwaka wanachokusanya wao na TRA Zanzibar inakusabya pesa kama hiyo ambayo.inaingia kwenye Serikali ya Muungano so hata kama.wanapewa ila Bado ni sehemu ya hela zao
Sasa Mchanga ukichimbwa Bara na kuletwa Zanzibar Kuna shida gani? Si Wana nunua au Kuna machimbonya Bure huko Bara?Mmmmh moyo haunipi vyombo vyetu viangalie hili jambo kwa jicho la tatu,
Kuna kipindi nilisikia huko bara mchanga mwingi unachimbwa na kuletwa Zanzibar, kuna viongozi kadhaa wa dini walilalamikia hilo jambo, kama mchanga inafanyika hivyo, au wanaununua huo mchanga?
Usisahau kama Mwinyi amekuja na mfumo wa kubana matumizi yasiyo ya lazima ya Serikali na kubana mianya ya uvujaji wa mapato kwa kukusanya kodi na tozo kwa mifumo ya kielkroniki, aidha Rais Mwinyi amekuwa Rais mwenye mawazo mapya kuliko watangulizi wake ameamua kuvikodisha visiwa ambavyo kwa sasa vimeingiza fedha nyingi Serikalini hivyo ujenzi wa miundo mbinu na masoko ni matokeo ya usimamizi mzuri wa mapato na matumizi pamoja na uendeshaji mzuri wa mipango ya Serikali ya ZanzibarNa mimi najiuliza kitu kingine utawala wa Mwinyi unatoa wapi fedha za ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa kwa wakati mmoja tofauti na watangulizi wake?
1. Kabomoa soko la Kwereke na La Mombasa, anajenga kwa upya.
2. Kabomoa uwanja wa Amaan Stadium anaujenga upya,
3. Stand ya kariakoo Zanzibar ilijengwa nadhani kuelekea 2020 lakini mwaka huu imebomolewa inajengwa upya,
4. Kaing'oa ng'oa barabara ya uwanja wa ndege na anajenga mpya,
5. Barabara za ndani hivi sasa nyingi nyingi zinajengwa.
6. Mradi wa bandari mpya Mangapwani,
7. Miradi ya majengo mbalimbali unguja
8. Ujenzi wa bandari pale Maruhubi
9. Ujenzi wa masoko ya kisasa Kwa Nyanya na Mkwajuni.
10 ujenzi wa fryover kwerekwe to Amani........
Je huyu mwamba anatumia fedha za kodi pekee na mikopo?
Au Samia hela nyingi kutoka bara anampa????
Aione Faiza FoxyKula chuma hiko
View attachment 2743513
Huwa najiuliza hivi kuna haja kweli ya kuendelea kuwa na hii taasisi ya EWURA? maana ni mzigo tu kwa mwananchi tunalipa kodi na tozo ili watu wachache waneemekeJibu ni Moja ewura sio kiwanda Wala kampuni ya mafuta
Mkuu watu wana Wajomba zao uko Umangani!Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!
Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?
Kuna nini hapo katikati?
Mkuu samahani naweza kupata hii spreadsheet?Sasa Mchanga ukichimbwa Bara na kuletwa Zanzibar Kuna shida gani? Si Wana nunua au Kuna machimbonya Bure huko Bara?View attachment 2743534
Kama ni hivyo sawa, maana nilikuwa na mashaka sana kwamba huenda fedha za bara zinaelekezwa nyingi hukuUsisahau kama Mwinyi amekuja na mfumo wa kubana matumizi yasiyo ya lazima ya Serikali na kubana mianya ya uvujaji wa mapato kwa kukusanya kodi na tozo kwa mifumo ya kielkroniki, aidha Rais Mwinyi amekuwa Rais mwenye mawazo mapya kuliko watangulizi wake ameamua kuvikodisha visiwa ambavyo kwa sasa vimeingiza fedha nyingi Serikalini hivyo ujenzi wa miundo mbinu na masoko ni matokeo ya usimamizi mzuri wa mapato na matumizi pamoja na uendeshaji mzuri wa mipango ya Serikali ya Zanzibar