Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

Nimeshangaa bei ya mafuta zanziba petrilo ni 2900 na diesel 3100!

Hawa zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?

Kuna nini hapo katikati?
Kula chuma hiko
IMG-20230907-WA0005.jpg
 
Nimeshangaa bei ya mafuta zanziba petrilo ni 2900 na diesel 3100!

Hawa zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?

Kuna nini hapo katikati?
Na mimi najiuliza kitu kingine utawala wa Mwinyi unatoa wapi fedha za ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa kwa wakati mmoja tofauti na watangulizi wake?

1. Kabomoa soko la Kwereke na La Mombasa, anajenga kwa upya.
2. Kabomoa uwanja wa Amaan Stadium anaujenga upya,
3. Stand ya kariakoo Zanzibar ilijengwa nadhani kuelekea 2020 lakini mwaka huu imebomolewa inajengwa upya,
4. Kaing'oa ng'oa barabara ya uwanja wa ndege na anajenga mpya,
5. Barabara za ndani hivi sasa nyingi nyingi zinajengwa.
6. Mradi wa bandari mpya Mangapwani,
7. Miradi ya majengo mbalimbali unguja

8. Ujenzi wa bandari pale Maruhubi
9. Ujenzi wa masoko ya kisasa Kwa Nyanya na Mkwajuni.
10 ujenzi wa fryover kwerekwe to Amani........
Je huyu mwamba anatumia fedha za kodi pekee na mikopo?
Au Samia hela nyingi kutoka bara anampa????

Ukiacha hela ambayo pengine wanapata kutoka Bara hasa zinazopatikana Kwa njia ya Mikopo na programs mbalimbali pia Wana Bajeti ya Bil.800 plus ambayo Kwa Nchi ndogo kama Zanzibar ni pesa kubwa.

Na hata ukiaangalia mapato Kwa mwaka wanachokusanya wao na TRA Zanzibar inakusabya pesa kama hiyo ambayo.inaingia kwenye Serikali ya Muungano so hata kama.wanapewa ila Bado ni sehemu ya hela zao.

Kile unachosikia TRA wanasema tutakusanya Trioni 24 Kwa mwaka,Kuna mapato ya kutoka Zanzibar,ingia toviti ya TRA soma zile Excel utaona.
 
Ukiacha hela ambayo pengine wanapata kutoka Bara hasa zinazopatikana Kwa njia ya Mikopo na programs mbalimbali pia Wana Bajeti ya Bil.800 plus ambayo Kwa Nchi ndogo kama Zanzibar ni pesa kubwa.

Na hata ukiaangalia mapato Kwa mwaka wanachokusanya wao na TRA Zanzibar inakusabya pesa kama hiyo ambayo.inaingia kwenye Serikali ya Muungano so hata kama.wanapewa ila Bado ni sehemu ya hela zao
Mmmmh moyo haunipi vyombo vyetu viangalie hili jambo kwa jicho la tatu,
Kuna kipindi nilisikia huko bara mchanga mwingi unachimbwa na kuletwa Zanzibar, kuna viongozi kadhaa wa dini walilalamikia hilo jambo, kama mchanga inafanyika hivyo, au wanaununua huo mchanga?
 
Sasa Mchanga ukichimbwa Bara na kuletwa Zanzibar Kuna shida gani? Si Wana nunua au Kuna machimbonya Bure huko Bara?
Screenshot_20230908-221640.jpg
 
Na mimi najiuliza kitu kingine utawala wa Mwinyi unatoa wapi fedha za ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa kwa wakati mmoja tofauti na watangulizi wake?

1. Kabomoa soko la Kwereke na La Mombasa, anajenga kwa upya.
2. Kabomoa uwanja wa Amaan Stadium anaujenga upya,
3. Stand ya kariakoo Zanzibar ilijengwa nadhani kuelekea 2020 lakini mwaka huu imebomolewa inajengwa upya,
4. Kaing'oa ng'oa barabara ya uwanja wa ndege na anajenga mpya,
5. Barabara za ndani hivi sasa nyingi nyingi zinajengwa.
6. Mradi wa bandari mpya Mangapwani,
7. Miradi ya majengo mbalimbali unguja

8. Ujenzi wa bandari pale Maruhubi
9. Ujenzi wa masoko ya kisasa Kwa Nyanya na Mkwajuni.
10 ujenzi wa fryover kwerekwe to Amani........
Je huyu mwamba anatumia fedha za kodi pekee na mikopo?
Au Samia hela nyingi kutoka bara anampa????
Usisahau kama Mwinyi amekuja na mfumo wa kubana matumizi yasiyo ya lazima ya Serikali na kubana mianya ya uvujaji wa mapato kwa kukusanya kodi na tozo kwa mifumo ya kielkroniki, aidha Rais Mwinyi amekuwa Rais mwenye mawazo mapya kuliko watangulizi wake ameamua kuvikodisha visiwa ambavyo kwa sasa vimeingiza fedha nyingi Serikalini hivyo ujenzi wa miundo mbinu na masoko ni matokeo ya usimamizi mzuri wa mapato na matumizi pamoja na uendeshaji mzuri wa mipango ya Serikali ya Zanzibar
 
Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100!

Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja?

Kuna nini hapo katikati?
Mkuu watu wana Wajomba zao uko Umangani!
 
Huwa najiuliza hivi kuna haja kweli ya kuendelea kuwa na hii taasisi ya EWURA? maana ni mzigo tu kwa mwananchi tunalipa kodi na tozo ili watu wachache waneemeke
Kwakweli
 
Usisahau kama Mwinyi amekuja na mfumo wa kubana matumizi yasiyo ya lazima ya Serikali na kubana mianya ya uvujaji wa mapato kwa kukusanya kodi na tozo kwa mifumo ya kielkroniki, aidha Rais Mwinyi amekuwa Rais mwenye mawazo mapya kuliko watangulizi wake ameamua kuvikodisha visiwa ambavyo kwa sasa vimeingiza fedha nyingi Serikalini hivyo ujenzi wa miundo mbinu na masoko ni matokeo ya usimamizi mzuri wa mapato na matumizi pamoja na uendeshaji mzuri wa mipango ya Serikali ya Zanzibar
Kama ni hivyo sawa, maana nilikuwa na mashaka sana kwamba huenda fedha za bara zinaelekezwa nyingi huku
 
Back
Top Bottom