Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri


Hawa watu kule kwao wanaishije?
Anthropology- Wakikubabikizia mchawi? Hata ukiwa na sura ya kutisha
Sasa ukiwa na nyenzo unaweza kufanya nini?
 
Kinadharia inawezekana ukakifahamu chama nje ndani lakini hata wewe mwenyewe unafahamu deep inside your heart huwezi kujilinganisha na Mzee Kingunge wala Lowassa wala Sumaye!! Na wakati wote wala si lazima utoke kwenye chama alivyotoka Lowassa au Kingunge... hivi hata wewe ingeweza kukuingia akilini kwamba Dr. Slaa leo hii angeweza kuwa target ya shombo za mashabiki wa CHADEMA? This's politics jombaa!
 


Mwanzo wa ngoma ni lele! Dalili ya mvua ni mawingu! Na panapofuka moshi panaficha moto!!!!!! Tafakari.
 
Huyu ndo aina ya rais niliyemtazamia kwa miaka zaid ya 20


Acha tubatizwe kwa moto maji hayana baraka tena
Wapenzi wa nchi hii wanamtaka walikuwa wanamtazimia Rais atakayeiweka mipango ya kutokomeza umaskini in action na sio rais anayetoa vitisho kwa wananchi wake! Vitisho haviwezi kuleta ugali mezani! Vitisho haviwezi kupandisha thamani ya shilingi yetu inayoendelea kushuka kila uchao! Vitisho haviwezi kukifanya University of Dar es salaam kuwa among the top universities in Africa! Vitisho havina hata ubavu wa kuleta andazi moja mlangoni pako!
 
Msipende kutafsiri vitu negative jaribu na positive. Unajua Rais WETU hapendi UJINGA kama mtu hawezi kufanya kazi anavyo paswa akigundulika kwake huwa DAKIKA TANO NI NYINGI Kutake action na sio kupoteza muda . Tulikuwa mbali tunapaswa kunyooka.hii ni.faida kwa watoto wetu
 
Maneno kibaoo utafikiri unafunda mwari ngomani au upo kichen party vile! kama we ni mwanaume ingia barabarani , yaani wewe kwenye hotuba yote umeliona hilo tu? nyie ndio propanda machines
Ni kiumbe unaepaswa kupuuzwa!
 

Umeandika maneno mengi sana lakini hujaweza kuonesha unachotaka kusema.
 
You're right! Je, kwa hayo unayosema Rais wetu ana mamlaka nalo ndani ya Zanzibar?! Let's assume Mtendaji X SMZ amevurunda na Shein anamfanyia muhari! Je, JPM ana mamlaka ya kumtumbua huyo mtu?!
 
Nitakuuliza kwa ufupi tu...wewe ulitaka Rais aseme nini kwa wale wanaochochea vurugu, wasaliti na wahaini???
Watiwe hatiani kwa hayo makosa kinyume chake tuache porojo
 
Utani upi na unausomaje? Kuzuia mikutano ya kisiasa ni utani?
Utani wake anakutania humu mmezungukwa na Polisi sasa ole wako akutanie halafu usicheke na kumpigia makofi au umrudishie kumtania...
 
Na hapa Ndio watanzania au nchi za kiafrica nyingi tunapofeli... Hata Mh Rais husisitiza anataka wazalendo kwanza na sio wapigania chama tunahitaji wapigania Tanzania... Kwa uliyoyaongea yaonesha hata kitokee kibaya vip as long kimefanywa na ccm hutakuja kukosoa sababu atayekosoa na kupishana nacho hakijui chama na hapiganii chama.... So sad
 
Una milioni 7 mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…