Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa anamkomoa nani huyo Mbarawa hakuwahi kuwasaidia chochote Wapemba'Mlivyokuwa Wajinga mkamkanyaga Mh. Mbarawa kwenye Uchaguzi sasa na Mimi kwa kuwaonesha nimekusanyaWizara Nyeti tatu nikamkabidhi aziongoze'-Mtu wa Watu
Mie napenda sana hotuba za Mh. Rais Magufuli kwa kuwa znatoka Moyoni kwake kabisa, Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu.
Hotuba za Jakaya nyingi zilikuwa anasoma Jakaya Mwenyewe baada ya January Makamba kuzihariri na kuhariri
....Upande wa Zanzibar, amechaguliwa mzee wetu Dk. Shein, hakuna atakayeingia mwingine. Nataka niwaeleze ukweli. Huyu ndie rais... mpaka miaka 5. Kwahiyo choma karafuu, choma mitumbwi... choma hata samaki umle... HUYU NDIYE RAIS. Na mimi nataka nikueleze Mheshimiwa Dk. Shein. Wewe ndie rais. Inawezekana umekuwa mpole sana kidogo. Hebu huo upole upole kidogo uweke pembeni. Ufanye kazi kwa niaba ya Watanzania hawa. Na mimi nataka nikuhakikishie Mheshimiwa Dk. Shein. Una support yangu yote. Atakayekuchezea chezea ukiona umemushindwa... niambie mimi hata kwa kuninong'oneza. Kwamba, mzee, nataka hapa ujaribu kidogo. Hazitapita hata dakika 5.
Maneno mengi, kwani umeielewaje hiyo kauli?Kwa bahati mbaya, jana sikupata fursa ya kufuatilia ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano huko kisiwani Pemba!! Kutokana na hilo, leo nikaamua kuperuzi peruzi hapa JF na kukutana na quote ifuatayo kutoka kwa member aliyekuwa analeta updates:
Binafsi nashindwa kuamini ikiwa ni kweli hayo yamesemwa na Mheshimiwa Rais ingawaje nikipata fursa nitataza video! Sitaki kuamini ikiwa hiyo ni kauli ya Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kwenye sanduku la kura... sitaki kuamini! Sasa ikiwa ni kweli mtu ameshindikana na Mheshimiwa Shein; yeye Mheshimiwa JPM atamfanya nini huyo mtu ndani ya hizo dakika 5?! Ni wapi tunaelekea kwenye hili taifa?! Mbona ikiwa mambo yenyewe kama ndo haya mbona hayo magereza yenu hayatatosha kufunga "wachochezi"?
Nafahamu wapo wanaofurahia na kushadadia kauli kama hizi lakini mnapaswa kufahamu fika kwamba; wote nyinyi hata kama mna kadi za CCM bado ni vidampa tu mbele ya yule Kingunge Ngombale Mwiru wa CCM!! Hata kama mna kadi tangia enzi za TANU, wote nyinyi ni vidampa tu mbele ya mtu kama Lowassa au Fredrick Sumaye wa enzi za CCM! Na si ajabu, ni vidampa hata mbele ya mtu kama Lawrence Masha aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchi hii!!
Hii maana yake nini? Usidhani vitisho kama hivi wewe havikuhusu kwa sababu tu wewe ni kada wa CCM! Kama ndivyo unavyodhani, basi uelewa wako ni mdogo kupitiliza! Nimewataja hapo akina Kingunge ambao miezi 30 tu iliyopita wangedhani kauli za vitisho kama hizo zingewahusu! Je, mtu kama Lowassa ambae hapo kabla angedhani kauli kama hiyo haimuhusu leo anaweza kudiriki kusema hivyo? Who are ndani ya CCM compared to Kingunge Ngombale Mwiru? Ingawaje Kingunge ameetoka CCM; hivi unaamini vigogo kama Mzee Mwinyi au Pius Msekwa anaweza kukuamini kada wewe ambae kuliko Mzee Kingunge?!
Endeleeni kufurahia kauli za kutisha kama hizi lakini kaa mkifahamu hili si la mmoja! Wakati inapitishwa Sheria y Mitandao niliamini kwamba hainihusu kwa kile nilichoamini nikiwa na kauli yangu timamu siwezi kuingia online na kuanza kutukana watu hovyo, kuanza ku-post picha za utupu n.k! I swear to God, niliamini hainihusu kabisa na hata hapa niliwahi kuandika kwamba "A black cat may be a bad lucky only if you're mouse!" Lakini leo hii hakuna sheria ninayoigopa kwenye hii nchi kama sheria ya mitandao ambayo, practically imebadilika kutoka Sheria ya Mitandao to Sheria Ya Kubana Maoni!
Ajabu ni kwamba, utakuta wengi wanaoshabikia kauli kama hizi hapa JF ni vijana wadogo wengine wakiwa below 30. Don't be stupid, you've a very long way to go!! Hilo hilo unaloshabikia leo wakati hata direction ya maisha yako haija-ssettle ndio hilo hilo litakalokutafuna kesho kwenye harakati zako za kimaisha!
Ikiwa kupinga kauli ya Rais ni UCHOCHEZI, am ready to face consequences lakini kauli hiyo ya Rais haileti picha nzuri kutoka mdomoni mwa Rais aliyechaguliwa kwa sanduku la kura. Haipendezi kutoka mdomoni mwa Commanding In Chief ambae Majeshi ya Ulinzi na Usalama yapo chini yake!
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Maneno kibaoo utafikiri unafunda mwari ngomani au upo kichen party vile! kama we ni mwanaume ingia barabarani , yaani wewe kwenye hotuba yote umeliona hilo tu? nyie ndio propanda machinesKwa bahati mbaya, jana sikupata fursa ya kufuatilia ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano huko kisiwani Pemba!! Kutokana na hilo, leo nikaamua kuperuzi peruzi hapa JF na kukutana na quote ifuatayo kutoka kwa member aliyekuwa analeta updates:
Binafsi nashindwa kuamini ikiwa ni kweli hayo yamesemwa na Mheshimiwa Rais ingawaje nikipata fursa nitataza video! Sitaki kuamini ikiwa hiyo ni kauli ya Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kwenye sanduku la kura... sitaki kuamini! Sasa ikiwa ni kweli mtu ameshindikana na Mheshimiwa Shein; yeye Mheshimiwa JPM atamfanya nini huyo mtu ndani ya hizo dakika 5?! Ni wapi tunaelekea kwenye hili taifa?! Mbona ikiwa mambo yenyewe kama ndo haya mbona hayo magereza yenu hayatatosha kufunga "wachochezi"?
Nafahamu wapo wanaofurahia na kushadadia kauli kama hizi lakini mnapaswa kufahamu fika kwamba; wote nyinyi hata kama mna kadi za CCM bado ni vidampa tu mbele ya yule Kingunge Ngombale Mwiru wa CCM!! Hata kama mna kadi tangia enzi za TANU, wote nyinyi ni vidampa tu mbele ya mtu kama Lowassa au Fredrick Sumaye wa enzi za CCM! Na si ajabu, ni vidampa hata mbele ya mtu kama Lawrence Masha aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchi hii!!
Hii maana yake nini? Usidhani vitisho kama hivi wewe havikuhusu kwa sababu tu wewe ni kada wa CCM! Kama ndivyo unavyodhani, basi uelewa wako ni mdogo kupitiliza! Nimewataja hapo akina Kingunge ambao miezi 30 tu iliyopita wangedhani kauli za vitisho kama hizo zingewahusu! Je, mtu kama Lowassa ambae hapo kabla angedhani kauli kama hiyo haimuhusu leo anaweza kudiriki kusema hivyo? Who are ndani ya CCM compared to Kingunge Ngombale Mwiru? Ingawaje Kingunge ameetoka CCM; hivi unaamini vigogo kama Mzee Mwinyi au Pius Msekwa anaweza kukuamini kada wewe ambae kuliko Mzee Kingunge?!
Endeleeni kufurahia kauli za kutisha kama hizi lakini kaa mkifahamu hili si la mmoja! Wakati inapitishwa Sheria y Mitandao niliamini kwamba hainihusu kwa kile nilichoamini nikiwa na kauli yangu timamu siwezi kuingia online na kuanza kutukana watu hovyo, kuanza ku-post picha za utupu n.k! I swear to God, niliamini hainihusu kabisa na hata hapa niliwahi kuandika kwamba "A black cat may be a bad lucky only if you're mouse!" Lakini leo hii hakuna sheria ninayoigopa kwenye hii nchi kama sheria ya mitandao ambayo, practically imebadilika kutoka Sheria ya Mitandao to Sheria Ya Kubana Maoni!
Ajabu ni kwamba, utakuta wengi wanaoshabikia kauli kama hizi hapa JF ni vijana wadogo wengine wakiwa below 30. Don't be stupid, you've a very long way to go!! Hilo hilo unaloshabikia leo wakati hata direction ya maisha yako haija-ssettle ndio hilo hilo litakalokutafuna kesho kwenye harakati zako za kimaisha!
Ikiwa kupinga kauli ya Rais ni UCHOCHEZI, am ready to face consequences lakini kauli hiyo ya Rais haileti picha nzuri kutoka mdomoni mwa Rais aliyechaguliwa kwa sanduku la kura. Haipendezi kutoka mdomoni mwa Commanding In Chief ambae Majeshi ya Ulinzi na Usalama yapo chini yake!
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Nafahamu wapo wanaofurahia na kushadadia kauli kama hizi lakini mnapaswa kufahamu fika kwamba; wote nyinyi hata kama mna kadi za CCM bado ni vidampa tu mbele ya yule Kingunge Ngombale Mwiru wa CCM!! Hata kama mna kadi tangia enzi za TANU, wote nyinyi ni vidampa tu mbele ya mtu kama Lowassa au Fredrick Sumaye wa enzi za CCM! Na si ajabu, ni vidampa hata mbele ya mtu kama Lawrence Masha aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchi hii!!
na tutatahiriwa kwa msumeno wa umemeAcha tubatizwe kwa moto
Yeye Anaamini katika Vitisho ndo nchi inasonga mbele amesahau kuna mambo mengine kama ya uchumi,elimu katika nchi hi hayahitaji vitisho
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]na tutatahiriwa kwa msumeno wa umeme
Kwa bahati mbaya, jana sikupata fursa ya kufuatilia ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano huko kisiwani Pemba!! Kutokana na hilo, leo nikaamua kuperuzi peruzi hapa JF na kukutana na quote ifuatayo kutoka kwa member aliyekuwa analeta updates:
Binafsi nashindwa kuamini ikiwa ni kweli hayo yamesemwa na Mheshimiwa Rais ingawaje nikipata fursa nitataza video! Sitaki kuamini ikiwa hiyo ni kauli ya Rais aliyechaguliwa kidemokrasia kwenye sanduku la kura... sitaki kuamini! Sasa ikiwa ni kweli mtu ameshindikana na Mheshimiwa Shein; yeye Mheshimiwa JPM atamfanya nini huyo mtu ndani ya hizo dakika 5?! Ni wapi tunaelekea kwenye hili taifa?! Mbona ikiwa mambo yenyewe kama ndo haya mbona hayo magereza yenu hayatatosha kufunga "wachochezi"?
Nafahamu wapo wanaofurahia na kushadadia kauli kama hizi lakini mnapaswa kufahamu fika kwamba; wote nyinyi hata kama mna kadi za CCM bado ni vidampa tu mbele ya yule Kingunge Ngombale Mwiru wa CCM!! Hata kama mna kadi tangia enzi za TANU, wote nyinyi ni vidampa tu mbele ya mtu kama Lowassa au Fredrick Sumaye wa enzi za CCM! Na si ajabu, ni vidampa hata mbele ya mtu kama Lawrence Masha aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchi hii!!
Hii maana yake nini? Usidhani vitisho kama hivi wewe havikuhusu kwa sababu tu wewe ni kada wa CCM! Kama ndivyo unavyodhani, basi uelewa wako ni mdogo kupitiliza! Nimewataja hapo akina Kingunge ambao miezi 30 tu iliyopita wangedhani kauli za vitisho kama hizo zingewahusu! Je, mtu kama Lowassa ambae hapo kabla angedhani kauli kama hiyo haimuhusu leo anaweza kudiriki kusema hivyo? Who are ndani ya CCM compared to Kingunge Ngombale Mwiru? Ingawaje Kingunge ameetoka CCM; hivi unaamini vigogo kama Mzee Mwinyi au Pius Msekwa anaweza kukuamini kada wewe ambae kuliko Mzee Kingunge?!
Endeleeni kufurahia kauli za kutisha kama hizi lakini kaa mkifahamu hili si la mmoja! Wakati inapitishwa Sheria y Mitandao niliamini kwamba hainihusu kwa kile nilichoamini nikiwa na kauli yangu timamu siwezi kuingia online na kuanza kutukana watu hovyo, kuanza ku-post picha za utupu n.k! I swear to God, niliamini hainihusu kabisa na hata hapa niliwahi kuandika kwamba "A black cat may be a bad lucky only if you're mouse!" Lakini leo hii hakuna sheria ninayoigopa kwenye hii nchi kama sheria ya mitandao ambayo, practically imebadilika kutoka Sheria ya Mitandao to Sheria Ya Kubana Maoni!
Ajabu ni kwamba, utakuta wengi wanaoshabikia kauli kama hizi hapa JF ni vijana wadogo wengine wakiwa below 30. Don't be stupid, you've a very long way to go!! Hilo hilo unaloshabikia leo wakati hata direction ya maisha yako haija-ssettle ndio hilo hilo litakalokutafuna kesho kwenye harakati zako za kimaisha!
Ikiwa kupinga kauli ya Rais ni UCHOCHEZI, am ready to face consequences lakini kauli hiyo ya Rais haileti picha nzuri kutoka mdomoni mwa Rais aliyechaguliwa kwa sanduku la kura. Haipendezi kutoka mdomoni mwa Commanding In Chief ambae Majeshi ya Ulinzi na Usalama yapo chini yake!
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
CCM imeshawahi kusimamia maslahi gani ya wengi acha uongo Watanzania wengi ni masikini wa kutupwa wanaishi vijijini huko nyumba za tembe. huku viongozi wa CCM wanajimilikisha rasilimali za nchi kifisadiHao wote unaowasifia ni bure kabisa.Mtu anayekijua chama hawezi hama chama hata siku moja.Huwezi acha mbachao kwa msala upitao.Kuna kitu kinaitwa CONSISTENCY katika mambo ya Party struggle.Unakipagania chama jua liwake,mvua inyeshe.Mtu anayekijua chama vizuri atasimama nacho milimani na mabondeni,kwenye vita na kwenye raha.Hao walioomna vita imekolea wakatimua hawana misimamo si askari wazuri wa chama chochote.Hata huko waweza watoroka wakaenda chama kingine au kurudi CCM sababu ni watu ambao huvunjika moyo upesi wakiona vita nzito.
Tuliobaki CCM ni chuma cha pua.Hao wote unaowasifia hawana hamu na sisi.Sisi Ni wapigania chama wasiochoka wala kusinzia tulipwe ,tusilipwe tuko na CCM yetu TUKIIPIGANIA MCHANA na usiku ili nchi iendelee kuwa na amani na utulivu na wasioitakia mema kuhakikisha hawashiki Nchi hii kwa jinsi yeyote ile iwayo.
Tunaipigania CCM sababu tunaamini kuwa ndicho chama ambacho kina uwezo wa kusimamia maslahi ya walio wengi katika nchi hii tofauti na vyama vingine ambavyo mlengo mkuu ni kusimamia maslahi ya wachache.