Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli siku zote haufichikiNilipata nafasi ya kusikiliza sehemu ya Mh Rais Magufuli aliyoitoa kisiwani Pemba hivi majuzi. Kwa upande wangu binafsi sikuipenda kwa sababu ilikuwa zaidi ya uchochezi badala ya kuwaunganisha Watanzania. Katika hutuba zake mara kwa mara huwa anasema uchaguzi umemalizika na sasa tufanye kazi lakini yeye mwenyewe alikuwa anawasema Wananchi wa Pemba kwa kutomchagua Prof Mbarawa katika uchaguzi mkuu.Mbali zaidi alidiriki kumsifia mwenyekiti kiti wa Tume ya Uchaguzi ndugu Jecha ilihali kila mtu wa ndani na nje ya Tanzania anajua kwamba CUF walikuwa washindi . Alidiriki hata kusema Jecha apewe nishani bila ya kuwa na aibu kitu ambacho Wazanzibari wenyewe wanajua kwamba wameporwa demokrasia yao . Na hata jumuia za kimataifa hilo linaeleka kwamba demokrasia ilibakwa
Na mbali zaidi alienda mbali na kuwaita watu vichaa . Naanza kuamini kuwa hutuba nyingi za Mh Rais zina walakini .Je hii ndio sababu anayohofia ya kukutana na wanahabari wa kimataifa nje ya nchi ?
Mungu Ibariki Tanzania
Nilipata nafasi ya kusikiliza sehemu ya Mh Rais Magufuli aliyoitoa kisiwani Pemba hivi majuzi. Kwa upande wangu binafsi sikuipenda kwa sababu ilikuwa zaidi ya uchochezi badala ya kuwaunganisha Watanzania. Katika hutuba zake mara kwa mara huwa anasema uchaguzi umemalizika na sasa tufanye kazi lakini yeye mwenyewe alikuwa anawasema Wananchi wa Pemba kwa kutomchagua Prof Mbarawa katika uchaguzi mkuu.Mbali zaidi alidiriki kumsifia mwenyekiti kiti wa Tume ya Uchaguzi ndugu Jecha ilihali kila mtu wa ndani na nje ya Tanzania anajua kwamba CUF walikuwa washindi . Alidiriki hata kusema Jecha apewe nishani bila ya kuwa na aibu kitu ambacho Wazanzibari wenyewe wanajua kwamba wameporwa demokrasia yao . Na hata jumuia za kimataifa hilo linaeleka kwamba demokrasia ilibakwa
Na mbali zaidi alienda mbali na kuwaita watu vichaa . Naanza kuamini kuwa hutuba nyingi za Mh Rais zina walakini .Je hii ndio sababu anayohofia ya kukutana na wanahabari wa kimataifa nje ya nchi ?
Mungu Ibariki Tanzania
Utani upi na unausomaje? Kuzuia mikutano ya kisiasa ni utani?Magufuli ni mtu wa matani sana, sema watu hawajazoea utani wa usukumani ndio maana wanapata nae shida.
Hiyo ndio hotuba ya kuimarisha muungano?Hotuba murua itatoka leo ya kujenga na kuimarisha Muungano
Nani alikwambia kura hazikuhisabiwa zote? Kuhusu nani kshinda ni suala jengine lakini kura zilikwisha hisabiwa, usiite watu waongo bure kwa ignorance yako!Acha uongo kila mtu anajuaje CUF walishinda wakati kura hazikuhesabiwa zote na tume haikutangaza matokeo? Mtu kujitangazia kuwa ameshinda ndiyo unataka kuaminisha watu kiupotofu kuwa CUF ilishinda? Endelea kuota ndoto bandia ambazo hazitakuja kutimia.
Bado unaamini hotuba iliyotoka ni ya kuimarisha na kujenga umoja?sio kwa vitisho vile,Rais kujiona mungu MTU!Hata the most powerful man on earth,Barack Obama hajawahi kuongea kwa vitisho namna hii!Hotuba murua itatoka leo ya kujenga na kuimarisha Muungano
Hapo alikuwa anawakomoa akina nani sasa'Mlivyokuwa Wajinga mkamkanyaga Mh. Mbarawa kwenye Uchaguzi sasa na Mimi kwa kuwaonesha nimekusanyaWizara Nyeti tatu nikamkabidhi aziongoze'-Mtu wa Watu
Mie napenda sana hotuba za Mh. Rais Magufuli kwa kuwa znatoka Moyoni kwake kabisa, Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu.
Hotuba za Jakaya nyingi zilikuwa anasoma Jakaya Mwenyewe baada ya January Makamba kuzihariri na kuhariri
Ongea ukweli tu,umepata fedheha kwa hotuba ya namna ile kutolewa na Rais!Hana hekima wala busaraJpm bonge la kiongozi atalifikisha taifa mbali.
Hapo alikuwa anawakomoa akina nani sasa
Alitaka kusema ndoto bhana,"hata kama ni mwanaume unaweza ota ni ......(japo hakusema ila alitaka kusema mwanamke),akasita akaona hapa nitakuwa natukana,akaendelea "hata kama ni mwanaume unaweza ota unacheza mpira"Mtu anaota usiku ana......
Kumbe kwny kuota vya usiku sote tunaota hajalishi kabwela au Kiongozi.