Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Mim hata kumwangalia na kumsikiliza nilisha acha kitambo sana, Namsubr 2020, Kura yangu ameshaikosa
 

Yaelekea CCM ni Baba yako na Mama yako pia.

UPUUZI unaohitaji Medali ya Almasi.

-Hakuna aijuae CCM aliewahi kuishi Dunia hii zaidi ya Nyerere lakini,
Nyerere huyo huyo aliwahi kusema (Sinukuu)
'Siku akiona Chama chake kinaendeshwa ki-upuuzi-jazzband, anaweza kuachana nacho kwakuwa Chama Si Baba wala si Mama yake'.

Sasa, Wewe unaposema hata iweje utang'ang'ana nacho na kuamua kutweza na kukejeli waliokihama au wanaoweza kufanya hivyo,
Akili ya kawaida itajiuliza tu Umri wa Mafinyufinyu yaliyopo Kichwani mwako ila Ujazo wa kutosha na uwepo wake ni uhakika tena bila kusumbua watu wa Maabara kulichunguza Hilo. .
 
nao uimara wa ccm upo wapi nje ya dola??????????
 
Ungekuwa uko tayari weka majina hako yote na picha ili ukawafilie. Subiri ukiwa Rais utaibadili hiyo sheria. Kam huwezi kuwa Rais endelea kuumia maana haujui urais ukoje.
Sheria hii tuifahamu tujiepushe nayo hapo ndo tutafikia kinachokusudiwa.
 
Kiuongozi anapaswa amtie.moyo mwenzake ili watuletee maendeleo. Unajua tupo nyuma sana sana yaani hapa inapaswa kila kitu kistabiliziwe mfumo wote aalafu na isiwe taratibu yaani inatakiwa faster maana tupo nyuma mno watoto wetu wasije teseka aaisee. So hiyo.kauli ni nzuri.na.ni yaakumpa moyo mwenzake yaani hamna kushindwa wala kukwamishwa.



You're right! Je, kwa hayo unayosema Rais wetu ana mamlaka nalo ndani ya Zanzibar?! Let's assume Mtendaji X SMZ amevurunda na Shein anamfanyia muhari! Je, JPM ana mamlaka ya kumtumbua huyo mtu?!
 
Sasa mkuu, pigania sana chama chako lakini pale mwenyekiti wako anapopotoka mshauri kwa manufaa ya nchi, tatizo la CCM wengi ni unafiki uliopitiliza
 
Nchi hii haijawahi kuwa na kiongozi wa ......................................kuzidi huyu!, Huko pemba badala kwenda kumsaidia ndugu yake kaenda kumchongea tu
 
Swali langu ni kwamba, yeye atamfanya nini huyo mtu aliyeshindikana ndani ya hizo dakika 5?! Kwanini asielekeze nguvu kwenye kutekeleza sera na ilani yao kama lengo ni kutoendelea umaskini?! Tangu lini vitisho vikaondoa umaskini?!
 
Nimeipenda hii kauli, utoto utoto uishe sasa

Uchumi ukushinde hata mikwara ukose hapana bwana.
 
mi naona sawa tu...sivunji sheria,natafuta hela kihalali so sioni kama napata au nitapatwa na tatizo lolote kisa kauli za rais ndani ya miaka kumi ijayo...
 
wacha uchochezi wewe. kama una akili huwezi kutafsiri literally kila tamko la rais. akisema atashughulikia mkorofi kwa dakika tano wewe unataka watu waone kama ataua mtu kumbe ni kuonesha atashughulikiwa mara moja tena kwa sheria. hivi ndivyo tunaomuunga mkono jpm tunachukulia. ila wale wanaochukia anavyoshughulika kuleta utii wa sheria na nidhamu nchini ndio wanahamaki na wana donge moyoni.
 
Ungekuwa uko tayari weka majina hako yote na picha ili ukawafilie. Subiri ukiwa Rais utaibadili hiyo sheria. Kam huwezi kuwa Rais endelea kuumia maana haujui urais ukoje.
Sheria hii tuifahamu tujiepushe nayo hapo ndo tutafikia kinachokusudiwa.
Labda unadhani kutumia Fake ID kwako ni usalama... kama ndivyo ulivyodhani, you need to think twice!!
 
Mbona huyasemi hayo kuhusu Lipumba na Dr Slaa?Kweli nyie vigeugeu!
 
Enzi za Rais Kikwete kutokana personality yake ya kutokuwa mkali basi mlimtukana na kumdharau kweli, Mnyika alithubutu kumuita eti Rais ni impotent halafu alitukania bungeni lkn bado Kikwete alitabasamu.

Kina Mbowe walikuja na movement za ajabu ajabu kweli,Mara operesheni Sangara,mara operesheni nini sijui...yaani ilikuwa ni vurugu.

Mwisho kabisa wanaChadema mkadai kwa nguvu zote kuwa mnataka Rais mkali na akisema neno kila RAIA aelewa Rais kasema.

Mungu akasikia kilio chenu na akamleta JPM ili kuokoa hiki kizazi cha Nyu.mbu

Na mna bahati sana Rais sio mimi, vinginevyo...................!!!!!!

NB: Rais wangu Mh. Magufuli punguza upole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…