Wewe unajielewaHata wafanyeje, ningekuwa Pemba nisiongeenda. Wakati wa kumuaga kikwete waliwataka walimu wote wa temeke waende uwanja wa taifa. Niligoma kwa nguvu zote na hakuna kilichotokea.
Mkataba wetu wala sheria za ajira hazimulazimishi mtumishi wa umma kuhudhuria mikutano ya kiserikali.
Labda vizuu wataburuzwa kwa sana tu.
Nimejificha baadae niisikilizie kwa mbali kwenye taarifa ya habari ya saa nane usikuNasubiri hotuba!
HaahaaahaaaWeka jina lako wazi basi na shule gani unayofundisha
Ahahaha nimecheka sanaRoll call lazima.
HAHA ANAWEZA SEMA NOTI YA SHILINGI ELFU KUMI INAKUWA NA RANGI YA KIJANI ILI WAFANYIBIASHARA WATOE NYEKUNDU😀😀😀 WALIZOFICHASijui leo atatoa tamko gani, wamsisitizie asome hotuba asije kuropoka tena
Tena upuuzi mkubwa!!ni upuuzi kulazimisha vitu ambacho havina maana yoyote ingekuwa ni mimi nisingeenda .
Ahaa nilijua mtakuja hapa!! hebu ongelea msemo wake kila kiongozi afanye mkutano kule alikochaguliwa!!Hapo umewataja wabunge na madiwani!! Kujikanganya ndio tabia yenu. Unakumbuka alipinga mikutano wakatia akijua kuna mkutano wa CCM wa kumchagua? Unakumbuka kujikanyaga kwa yule polisi aliyesema "mikutano ya ndani imeruhusiwa" UBAGUZI ni njia fupi sana!!Kichwa chako kina matatizo.Sheria ya uchaguzi ukishachaguliwa unakuwa kiongozi wa wote waliokupa kura na waliokunyima kura! Mbunge,diwani,na raisi wakishashinda uchaguzi wanakuwa viongozi wa wote bila kujali ulimpa kura au hukumpa.Hapo hata kama pemba nzima hawakumpa kura huyo ndio raisi.Raisi hawezi kuwa Seif WALA lowasa.
Nchi hii usipojitambua utaburuzwa na kila mtu.Wewe unajielewa
Wengi waoga sana!!
mie nilitamani sana asihutubie, si unajia anapo ongea huyu ndugu. akiongea usishangae kesho mafuta yakapanda beiNasubiri hotuba!
Nilishangaa sana wafanyakazi kukesha kwenye mwenge SerengetiNchi hii usipojitambua utaburuzwa na kila mtu.
Walimu wengine wana vyeti vya kugushi, wamepangiwa kazi kwa vimemo, n.k
Lazima atakuwa wa kusema HEWALA BWANA.
Labda atamtumbua sheinSijui leo atatoa tamko gani, wamsisitizie asome hotuba asije kuropoka tena
Kupatwa kwa dunia!!
Tunashukuru serekali kuichagua pemba kuwa sehemu ya Kupatwa kwa dunia.
Wafanyakazi wa serikali WAMELAZIMISHWA kwenda kusikiliza hotuba ya Rais Pemba
Tena wataitwa kabisa majina yao kuona nani hajafika
Upuuzi sana huu usio na tija yyt kwa mfanyakazi wa Pemba
Upuuzi sana ule aiseeUnashangaa hilo kufanyika Pemba?Bora huko Pemba ambako kama si "kupatwa kwa demokrasia" kulikofanywa na zecccm,hakuna awezaye kupoteza muda kwa mambo hayo.
Unakumbuka kilichofanyika Sengerema Mwanza?Sehemu ambayo hotuba za kampeni za urais zilikuwa zikihutubiwa kwa kilugha,bado watu walilazimishwa kukesha kwenye mwenge.Watumishi wa umma walilazimishwa kusaini madaftari ya mahudhurio Mara Tatu kuanzia usiku wa manane!Hiyo ndiyo serikali ya mwendokasi,kila kitu kinafanywa kwa nguvu ili kiakisi utukufu wa mkuu!