Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Wewe unajielewaHata wafanyeje, ningekuwa Pemba nisiongeenda. Wakati wa kumuaga kikwete waliwataka walimu wote wa temeke waende uwanja wa taifa. Niligoma kwa nguvu zote na hakuna kilichotokea.
Mkataba wetu wala sheria za ajira hazimulazimishi mtumishi wa umma kuhudhuria mikutano ya kiserikali.
Labda vizuu wataburuzwa kwa sana tu.
Wengi waoga sana!!