ZILLAHENDER MPEMA
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 2,055
- 4,243
Kichwa chako kina matatizo.Sheria ya uchaguzi ukishachaguliwa unakuwa kiongozi wa wote waliokupa kura na waliokunyima kura! Mbunge,diwani,na raisi wakishashinda uchaguzi wanakuwa viongozi wa wote bila kujali ulimpa kura au hukumpa.Hapo hata kama pemba nzima hawakumpa kura huyo ndio raisi.Raisi hawezi kuwa Seif WALA lowasa.
Sheria hizo mnazinukuu kwenye mambo yenye maslahi na upande wenu tu? Mbona sheria zinazoruhusu Uhuru wa Demokrasia mnazipiga vita hadi kuviagiza vikosi vya ulinzi na usalama vitoroke kambini na kuja kufanya mazoezi barabarani?Huyo ni wenu peke yenu,msitulazimishe tusiomchagua tumkubari.Angekuwa "rahisi" wa wote angeruhusu vikosi vya ulinzi na usalama vinavyotunzwa kwa kodi zetu viwasake kwa mitutu ya bunduki mithiri ya digidigi wapinzani wa serikali yake?