Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Jamani si tulisema huyu mtu awe anasoma hotuba anazoandikiwa unaona sasa hilo tamko lake badala ya kujenga umoja wa wazanzibari linazidi kuwatenganisha
 
Allah atunusuru kwakweli hivi unaanzaje kumpongeza jecha Pemba? Inamaana mkuu hajui kuwa katiba haikufuatwa kufuta uchaguzi znz?
 
Hii sampuli ya kupiga push up jukwaani tegemea vituko tu
Diplomasi hakuna kabisa..
Vitisho havisaidii chochote, ni dalili za kutojiamini au anajiona hatoshi kwenye nafasi Aliopo
na kurudia rudia kuwa mimi nilishinda uchaguzi,mimi ndiye niliyechaguliwa,, kwanini anasisitiza?? Kwanini kuyasema hayo wakati anajua alishinda??
 
Mapebari wa Sukari yeye aliwaweza? Mpaka leo bado na-google bei ya 1800 per kilo ila bado sijaiona hiyo bei.

Ni vyema mkuu wa nchi awe ana-control matamshi yake. Asipeleke mambo kibabe sanaaa kivile. Awe mtu wa diplomasia na majadiliano pale inapohitajika. Ku-fuel maendeleo ya nchi kunahitaji utashi na ushirikiano wa wadau mbali mbali.

-Kaveli-
 
na kurudia rudia kuwa mimi nilishinda uchaguzi,mimi ndiye niliyechaguliwa,, kwanini anasisitiza?? Kwanini kuyasema hayo wakati anajua alishinda??

kaswali kagumu.
Nazipenda kucha zanguu miee
 
Rais ni KIONGOZI mkuu wa serikali,wasipo enda wataadhibiwa! AMBAO hawakwenda kukesha na Mwenge Serengeti wana jadiliwa huko!
Udikteta huu
Kwa nchi za Afrika demokrasia haiwezi leta maendeleo jaribu kuangalia historia halisi ya uongozi katika dunia
 
Hotuba murua itatoka leo ya kujenga na kuimarisha Muungano
unapokuwa unaongea uwe unajaribu kutunza maneno ya kesho..mtukufu tangu lini ametoa hotuba?mimi kama raia wa chini kabisa kila akisimama hua nasikia ni vitisho tu,ninachompongeza ni kutusomesha namba wananchi wa hali ya chini..any way ngoja tusubiri.
 
Back
Top Bottom