Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kumbe ni ziara ya kwenda kumuombea radhi Shein huko Pemba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatishia amani kivipi wanataka kulipuwa mabomu au maana bado sijaelewa wanatishiaje amani ya nchi.Hatishii. Anawatahadharidha wale wote wanaofikiria watachezea amani ya nchi hii. Unawakumbuka UKUTA? Waliweka mpira kwapani dakika za mwisho baada ya kumwelewa.
Kwa kutangaza kuwashughulika wapanzani wa kisiasa kwa nguvu zote Tz, tumepata Rais binadamu asiye na chembe ya ubinadamuMzee anasema mtu akileta zake amnong'oneze,hivi anawajua wazanzibar vizuri kweli,au wanadhani wale ni wanyakyusa au wapare.
Kwa maccm kudai haki ni uchochezi au kutishia Amani.Wanatishia amani kivipi wanataka kulipuwa mabomu au maana bado sijaelewa wanatishiaje amani ya nchi.
Nimelipenda neno 'Mubashara'. ITV wanalitumia sana.Hizi hotuba mimi sijawahi sikia mubashara,yanayoonekana kwenye uzi ni hotuba au uzushi wa JF?kumlisha rais maneno
Wanatishia amani kivipi wanataka kulipuwa mabomu au maana bado sijaelewa wanatishiaje amani ya nchi.
Nilitaka kuandika kitu ila ngoja nitulieJapo amenitoka rohoni kiasi fulani, ila namsikiliza hapa anavoongea ananichekesha sana. Taratibu nadhani akiendelea kutoa hotuba zake kwa wananchi nadhani wanaweza kuanza kumuelewa.
Rais ana maneno ya mizaha aisee hahahaha.... Eti mfano mwanaume anaota usiku una.... amesita kumalizia baada ya kujua yupo Pemba sijui alitaka kusema nini? 😛😛😛
We ndiyo unaliona leo, mimi nilishaliona zamani kuwa ana matani/mizaha... ya matairi ya magari, elfu tano za polisi kubrush viatu, kufyatua etc. Ila nikashtuka aliposema hakuna mikutano, na akawa hatanii (nilidhani ni utani wake), hapo nikaanza kufikiri tena tofauti na mtazamo wa utani!Japo amenitoka rohoni kiasi fulani, ila namsikiliza hapa anavoongea ananichekesha sana. Taratibu nadhani akiendelea kutoa hotuba zake kwa wananchi nadhani wanaweza kuanza kumuelewa.
Rais ana maneno ya mizaha aisee hahahaha.... Eti mfano mwanaume anaota usiku una.... amesita kumalizia baada ya kujua yupo Pemba sijui alitaka kusema nini? 😛😛😛
Mkuu tumejifunza.kosa si kosa kosa kurudia kosaHilo fundisho 2020 muangalie watu wa kuwapa nchi. Si mnaona viwanda hivyo vya kupiga raia