Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
So Zanzibar tarehe 1 january wanaifuta hiyo Siku na watakuwa mzigoni kama kawa enhMbona Wakristo wanapumzika tarehe 1, January?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So Zanzibar tarehe 1 january wanaifuta hiyo Siku na watakuwa mzigoni kama kawa enhMbona Wakristo wanapumzika tarehe 1, January?
Kwani Tanganyika ilienda wapi ??Ingekua Muungano, Zanzibar ingekuwa Jimbo la Tanzania. Huu sijui tuiteje.
Ilipotea, alafu Zanzibar ikabaki.Kwani Tanganyika ilienda wapi ??
Hawawezi jibu hili swali.Ila si Wanadai Adam alikuwa Muislam? inakuwaje tena Mwaka wa Uislam una miaka michache tena enh! au ndio Takiya
Kwani Zanzibar hakuna Wakristo?So Zanzibar tarehe 1 january wanaifuta hiyo Siku na watakuwa mzigoni kama kawa enh
Ccm ina siasa za kihuni sana.CCm Ili kushinda Zanzibar,lazima wajifanye wao ndio waislamu zaidi..it is a political tactic,zile hoja za uzanzibari na uTanganyika hamtazisikia,zinakuwa replaced na udini...expect a docile Zanzibar in the next 5 yrs,watakuwa kama watu wa bara.
Kuna point nimeipata hapaCCm Ili kushinda Zanzibar,lazima wajifanye wao ndio waislamu zaidi..it is a political tactic,zile hoja za uzanzibari na uTanganyika hamtazisikia,zinakuwa replaced na udini...expect a docile Zanzibar in the next 5 yrs,watakuwa kama watu wa bara.
Kwani Wakristo tarehe 01,January ni sikukuu gani kwao.....Mbona Wakristo wanapumzika tarehe 1, January?
Israel pia ni mwanachama wa OIC.OIC mliwakatalia bure kwani hata Uganda wamo na Suriname, Guyana, hata Guinea pia
Sio waislam tu kwenye jumuiya hiyo
Kuhusu mwaka mpya ni sawa kwani wanasema wengi wape na asilimia kubwa ni Waislam hivyo hatuoni shida
Ila kama utaangalia kwa husda na ubaya lazima upinge
Hata wakifanya Mwezi wa Ramadhani wamalize kazi saa 7 sawa tu
Kwani sisi kuwa member wa UN wazungu wametusaidia nini?Hao waganda tangu wajiunge wamepata maendeleo gani tangu wajiunge ? Maana wakija bongo wanaona kama wamefika mbingu ya saba?
Bro uzi ule tutauendeleza kuna sababu nyeti kidogo why nimestopCcm ina siasa za kihuni sana.
Mwaka mpya!Kwani Wakristo tarehe 01,January ni sikukuu gani kwao.....
Poa kiongozi, ukianza uni-tagBro uzi ule tutauendeleza kuna sababu nyeti kidogo why nimestop
Mihemko ya kijinga na upuuzi tuuOIC mliwakatalia bure kwani hata Uganda wamo na Suriname, Guyana, hata Guinea pia
Sio waislam tu kwenye jumuiya hiyo
Kuhusu mwaka mpya ni sawa kwani wanasema wengi wape na asilimia kubwa ni Waislam hivyo hatuoni shida
Ila kama utaangalia kwa husda na ubaya lazima upinge
Hata wakifanya Mwezi wa Ramadhani wamalize kazi saa 7 sawa tu
Hii ni bidaa', hakuna sehemu Waislam wanaambiwa waadhimishe mwaka mpya wa Kiislam wanaiga wakitaka wawe sawa na Manaswara kwa kila kituRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar.
Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili kuadhimisha siku ya mwaka mpya wa Kiislamu.
View attachment 2691362
Ni kwa sababu wengi ni waislamu hata asipotangazaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar.
Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili kuadhimisha siku ya mwaka mpya wa Kiislamu.
View attachment 2691362