Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

Mwaka mpya!

Kutahiriwa!
Mwaka mpya sio sikukuu ya Wakristo....sikukuu rasmi za wakristo ni kama Krismasi,Pasaka,Pentekoste.
Mapokeo ya wakatoliki,waanglikana na walutheri tu ndio husema kuwa mwaka mpya ni siku ya kupewa jina na kutahiriwa Yesu
 
Wakipumzika wewe unaathirika na nini???
Kula yako ya J5 itakuwa pungufu kwa vile ZNZ wamesheherekea mwaka mpya??
 
Kinachonishangaza ukiingia ndani check upande wa nyuma kwenye kona utaona misikiti imejazwa virago vya kulalia ... hawa jamaa waswahilina sana hahah
 
Ilipotea, alafu Zanzibar ikabaki.


Ilipotelea baada kuvaa joho la ki Tanzania lakini bado ipo , ndiyo hii iliyoweka jeshi lake huku kila mtaa pamoja na hawa usalama wanaovaa wengine rubega za kimasai.

Mbona ikifika uchaguzi wanaletwa zaidi kulazimisha kibaraka wao kukaa madarakani ??
 
Hii ni bidaa', hakuna sehemu Waislam wanaambiwa waadhimishe mwaka mpya wa Kiislam wanaiga wakitaka wawe sawa na Manaswara kwa kila kitu


Hizi mbinu za huyu Kijana wa Mkuranga anafikiri labda kwa kufanya hivyo atawanyamazisha Wazanzibari kudai nchi yao , anajidanganya
 
Mbona mwaka mpya huwa sio 25 Dec.
Kwasababu wakristo hawana kalenda ya kikristo kama waislamu walivyo na kalenda yao .Wakristo wanafuata Gregorian Calendar ambayo ni kama international calendar yaani inakubalika duniani kote
 
Back
Top Bottom