Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Hao Wakatoliki wa nchi gani wanaosema mwaka mpya ni sikukuu ya kutahiriwa Yesu Kristo!? Sikukuu zote za Kikristo chimbuko lake ni Wakatoliki ila hiyo ya mwaka mpya kuwa sikukuu ya kutahiriwa ndo nimeisikia kwako pamoja na kuwa mimi ni MkatolikiMwaka mpya sio sikukuu ya Wakristo....sikukuu rasmi za wakristo ni kama Krismasi,Pasaka,Pentekoste.
Mapokeo ya wakatoliki,waanglikana na walutheri tu ndio husema kuwa mwaka mpya ni siku ya kupewa jina na kutahiriwa Yesu