Zanzibar yaridhia mwaka mpya wa kiislamu kuwa siku ya kitaifa

Ila si Wanadai Adam alikuwa Muislam? inakuwaje tena Mwaka wa Uislam una miaka michache tena enh! au ndio Takiya
 
CCm Ili kushinda Zanzibar,lazima wajifanye wao ndio waislamu zaidi..it is a political tactic,zile hoja za uzanzibari na uTanganyika hamtazisikia,zinakuwa replaced na udini...expect a docile Zanzibar in the next 5 yrs,watakuwa kama watu wa bara.
Ccm ina siasa za kihuni sana.
 
CCm Ili kushinda Zanzibar,lazima wajifanye wao ndio waislamu zaidi..it is a political tactic,zile hoja za uzanzibari na uTanganyika hamtazisikia,zinakuwa replaced na udini...expect a docile Zanzibar in the next 5 yrs,watakuwa kama watu wa bara.
Kuna point nimeipata hapa
 
Israel pia ni mwanachama wa OIC.
 
Hao waganda tangu wajiunge wamepata maendeleo gani tangu wajiunge ? Maana wakija bongo wanaona kama wamefika mbingu ya saba?
Kwani sisi kuwa member wa UN wazungu wametusaidia nini?
Humanitarian funds ama?
Zaidi ya vyandarua labda
Ila organizations nyingi wana agenda nyingi
 
Mihemko ya kijinga na upuuzi tuu
 
Sherehe za Mwaka Kogwa zimekuwa zikiadhimishwa Makunduchi/ Zanzibar kwa miaka na miaka. Nakumbuka miaka ya 1980s tulikuwa tunaangalia TVZ walikuwa wanaonesha Mwaka Kogwa.

Nimekuja likizo Zanzibar ukubwani, nimekuta Mwaka Kogwa.

Labda likuwa hamuijui tu, na sasa mmepata Rais Mmakunduchi, ndiyo mnakuja kuijua.

Lakini ipo muda mrefu sana.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

Samia ni mjinga, hafai, kakosea mkataba, hajui Kiingereza, si mtu intellectual.

Hawezi urais.

Yote haya nakubali.

Lakini hizi sherehe za kimila za Mwaka Kogwa is a non-issue, jamani mbona mnachukua hoja mufilisi wakati kuna hoja zenye afya kibao?

Mnakosea wapi?
 
Hii ni bidaa', hakuna sehemu Waislam wanaambiwa waadhimishe mwaka mpya wa Kiislam wanaiga wakitaka wawe sawa na Manaswara kwa kila kitu
 
Ni kwa sababu wengi ni waislamu hata asipotangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…