Hao Wakatoliki wa nchi gani wanaosema mwaka mpya ni sikukuu ya kutahiriwa Yesu Kristo!? Sikukuu zote za Kikristo chimbuko lake ni Wakatoliki ila hiyo ya mwaka mpya kuwa sikukuu ya kutahiriwa ndo nimeisikia kwako pamoja na kuwa mimi ni MkatolikiMwaka mpya sio sikukuu ya Wakristo....sikukuu rasmi za wakristo ni kama Krismasi,Pasaka,Pentekoste.
Mapokeo ya wakatoliki,waanglikana na walutheri tu ndio husema kuwa mwaka mpya ni siku ya kupewa jina na kutahiriwa Yesu
Hapana January mosi ni ya muungano [emoji1] [emoji1787]So Zanzibar tarehe 1 january wanaifuta hiyo Siku na watakuwa mzigoni kama kawa enh
Hiyo itakua sio secular state sasa. Mfano mbeya Kuna wasabato wengi wakiamua nao tarehe yao iwe siku ya mapumziko?OIC mliwakatalia bure kwani hata Uganda wamo na Suriname, Guyana, hata Guinea pia
Sio waislam tu kwenye jumuiya hiyo
Kuhusu mwaka mpya ni sawa kwani wanasema wengi wape na asilimia kubwa ni Waislam hivyo hatuoni shida
Ila kama utaangalia kwa husda na ubaya lazima upinge
Hata wakifanya Mwezi wa Ramadhani wamalize kazi saa 7 sawa tu
Wakristo wa Zanzibar tokea enzi na enzi hawana fujo na mtu , matatizo yameanza baada kuvamiwa na Tanganyika na kuanza kuletwa vijikanisa vya ajabu ajabu na hivi ndivyo vinaweza kujaribu kuleta chokochoko hiyo
Kamuulize Padre wako kwanini siku ya mwakampya hata kama sio jumapili huwa kunakua na misaHao Wakatoliki wa nchi gani wanaosema mwaka mpya ni sikukuu ya kutahiriwa Yesu Kristo!? Sikukuu zote za Kikristo chimbuko lake ni Wakatoliki ila hiyo ya mwaka mpya kuwa sikukuu ya kutahiriwa ndo nimeisikia kwako pamoja na kuwa mimi ni Mkatoliki
mbona mwaka wenu wa kikafir tunasherehekea, kwani hii nchi ya kikafir?Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar.
Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili kuadhimisha siku ya mwaka mpya wa Kiislamu.
View attachment 2691362
Kwani Zanzibar hakuna Wakristo?