Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,998
Dubai waliweza kufanikiwa baada ya kuamua hela za mafuta wanazopata kuwekeza katika miundombinu, afya na elimu, ambapo iliweza kuvutia wageni wengi na uwekezaji wa kibiashara. . . ambapo kwa sasa utalii na biashara ndio zinaleta hela nyingi zaidiSasa mkuu huo utalii unauona ni jambo dogo? Hebu Tazama Seychelles, Mauritius na Dubai zilipo, ni utalii tu hakuna jengine.
Mkuu Seychelles na Mauritius usizichukulie Poa, Zipo mbali sana.Haa ha ha ha, Seychelles na Mauritius hawa hawa ambao wacheza mpira wao wakijaga Dar wanashangaa maghorofa ya Kariakoo na posta? Dubai ina combination of issues bro, open up your minds, Dubai ni soko, Dubai wamewekeza hasa, kuna kila aina ya biashara pale and this is because of their leader(s) kua creatives, haijaendelea because of geographical location. Najaribu kumuonesha mtu yule ambaye alisema eti Zanzibar ikiachana na muungano itakua kama Qatar, it will not just happen because of the it's location, bidii, ubunifu na commitment, that's it na wanashindwa kufanya hivo hata sasa? Muungano unawazuia nini?
Dubai waliweza kufanikiwa baada ya kuamua hela za mafuta wanazopata kuwekeza katika miundombinu, afya na elimu, ambapo iliweza kuvutia wageni wengi na uwekezaji wa kibiashara. . . ambapo kwa sasa utalii na biashara ndio zinaleta hela nyingi zaidi
Kati ya watu waliopo Dubai takribani milioni 3.5 wageni ni wengi kuliko wazawa na hata ukiangalia jumla kamili kati ya watu takribani milioni 10, wageni ni 89%
sasa nyie huko visiwani wageni wakija kidogo tu mnatoa macho ka mmebanwa na mlango mara oh wabara wanataka kutumeza na huku mmejazana huku bara kama wote
ni ngumu kuendelea sababu mna akili za kitumwa ambazo masultani wa kiarabu waliwaachia hivyo ngumu kuendelea sababu hamjielewi
mlivyo vichwa panzi tukiwaacha mbaki wenyewe mtaanza kukatana mikono na kupigana mawe mpaka kufa kwa sheria za kuiga kutoka mataifa ya mbali ambayo kabla ya kuwapa hizo sheria, walicharaza bakora, wakawanajisi, wakawahasi, wakawatumikisha kwenye mashamba, wakawauza watumwa n.k kisha ndo mkazipata, na hamtaishia hapo pia mkimaliza wenyewe kwa wenyewe mtaanza siasa kali na kutaka kuleta upuuzi wenu wa kujitoa mhanga huku bara.Sasa kwanini munaendelea kuing'ang'ania ?
mlivyo vichwa panzi tukiwaacha mbaki wenyewe mtaanza kukatana mikono na kupigana mawe mpaka kufa kwa sheria za kuiga kutoka mataifa ya mbali ambayo kabla ya kuwapa hizo sheria, walicharaza bakora, wakawanajisi, wakawahasi, wakawatumikisha kwenye mashamba, wakawauza watumwa n.k kisha ndo mkazipata, na hamtaishia hapo pia mkimaliza wenyewe kwa wenyewe mtaanza siasa kali na kutaka kuleta upuuzi wenu wa kujitoa mhanga huku bara.
hivyo kulinda usalama wetu lazima tuhakikishe, kila kinachoingia huko tunafahamu na nyie tunawacontrol
Nilimsikia shehe anakemea hili.Kwa sasa ka mbali na muislamu akicheua ni mavimbizi tupu , anakula usiku kucha kama mchwa
Tungejamba cheche ππHii Dunia mwarabu angekua superpower tungekoma Sana aisee π
Huyu mkirisito Mmarekani tu anatuendesha hivi mwarabu sijui ingekuaje dadeki
Hali ingekua si Hali mkuu haki nakwambia mimi πTungejamba cheche ππ