Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Wakristo je? Inawahusu?
 
Hawa watu wana matatzo sana Dunia ipo salama ikiongozwa na mzungu ingeongozwa na waarabu tungekoma
Jambo limefanyika Zanzibar wewe unawalaumu waarabu rais wa Zanzibar na makamu wake na wabunge ni watanzania muarabu hapa kaingiaje?chuki mbaya mwesowe utajichukia mwenyewe huyo mzungu unae msifia uzuli wake nn?
 
Mods wana merge na uzi wa mwaka Jana si ushamba huu au mods ni waisilamu [emoji23]
 
Huwa wanabadili ratiba ya mlo kutoka mchana kwenda usiku.

Mana jua likizama tu wanakula usiku kucha kama viwavijeshi.

#MaendeleoHayanaChama
Hiyo chuki tu inakusumbua ulitaka some tulisujudie sanamu la bikira mariya,hapa ulipo ukiulizwa funga maana nini uwezi jibu utabaki kujiuma umatu
 
Wasiweke marufuku hili sio taifa la kidini.
 
Mwarabu sehemu yeyote aliyokaa na kutawala Africa Kuna vita, njaa na ujinga mkubwa saana.

Mwarabu Hana akili tu Kama mwafrica.

Mwarabu simkubali saana.
Mwafrika ni baba yako babu bibi yako mama yako ndugu zako wewe mwenyewe kitendo cha kuwa kataa hawa kinaonyesha ulivio kuwa mpumbafu heti unakubali mzungu[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Hiyo chuki tu inakusumbua ulitaka some tulisujudie sanamu la bikira mariya,hapa ulipo ukiulizwa funga maana nini uwezi jibu utabaki kujiuma umatu
Mbusu jiwe , nimekuitwa kule tuwe tuna post machakula mazito ya mwezi wa kula Sana Ramadhani
 
Hiyo chuki tu inakusumbua ulitaka some tulisujudie sanamu la bikira mariya,hapa ulipo ukiulizwa funga maana nini uwezi jibu utabaki kujiuma umatu
Ulipaswa umjibu kwa hekima na ushahidi mwema wa alichokieleza.Badala yake,umezidi kuharibu kwa kashfa kwa wengine.Subhanallah!
 
Wamezuiya kula hadharani usiwe mnafiq wewe unaisha Zanzibar?
Nipo Zanzibar mzee we kama hujui ya huku tulia....kula hadharani ni ipi; nafikiri unamaanisha kula ukiwa njiani sivyo? Kula ndani ya mgahawa ni hadharani pia? Migahawa imefungwa, hilo unalionaje!
 
Wazanzibar wabaguzi saana Yani mtu akisikia wewe ni dini tofauti na yeye anakuona Kama hutoboi mbinguni na usikae nae karibu... Kafir mkubwa.

Wanamuona Mungu kama anawajua kwa majina kwa wao kuamua kuwa wasilamu.

Wanakera saana.
Hata biblia inasema yoyote asie muabudu mungu 1 ni kafiri

Ukafiri wenu huu hapa

1 Mungu mwana
2 Mungu roho
3 Mungu baba

Hawa ni miungu 3 huo ndio ukafiri wenu lazima tukae nanyi mbali hili msije tuambukiza ushirikina wenu huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…