mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti viwavi jeshiiHuwa wanabadili ratiba ya mlo kutoka mchana kwenda usiku..
Mana jua likizama tu wanakula usiku kucha kama viwavijeshi.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nawashangaa saana wale. Mimi kabisa niende Zanzibar nikazamie huko?
Kwanza hupati hata hela watu hawana hela na mzuguko ni mdogo muda wote wamelala masjid.. jioni wanakula chapati moja na chai wanaenda kulala watu maskini balaa
Bila fukwe na hoteli za kitalii..hakuna mji mbovu kama zenji..bora mtu ukaishi hata mafia huko ama chiwata...pamenyata sana.
Sema nink tunadumisha muungano
#MaendeleoHayanaChama
Haiwezi kuwa... Ingekuwa hivyo hata Comoro ingekuwa mbali. Mbona Comoro went nyumba za mabati mjini wanahesabika wakati wako wenyewe?Bila fitna Za wakoloni wa CCM Zanzibar ingekuwa Qatar
Hujakatazwa kula kwako kama mwenye biashara yake kafunga apate utulivu na mola wake sasa wewe kinakusumbuan nii.Hawa watu wana matatzo sana Dunia ipo salama ikiongozwa na mzungu ingeongozwa na waarabu tungekoma
Kama Ni hivyo mbona Bara ndo mnaing'ang'ania Zanzibar??Haiwezi kuwa... Ingekuwa hivyo hata Comoro ingekuwa mbali. Mbona Comoro went nyumba za mabati mjini wanahesabika wakati wako wenyewe?
Nyie bara wamewasaidia Hadi umeme, siku wakikata umeme mnalala Gizani.
Kwa ufaulu wenu hafifu wa darasani na mnavyoikataa shule na mnavoendekeza udini. Bara ikiwaacha mnakuwa wakimbizi pale Kenya. Mtapigana vita vya kidini Hadi akili ziwakae sawa.
Yaani naturally mko predisposed kuwa less intelligent watu wa visiwani kuliko wa Bara sababu mnaharibu watoto kwa kuwaminya visogo ili wasiwe na machogo msijue kwenye ubongo wa nyuma ndio Kuna kila kitu.
Na hamna resources hata moja ya kuwatoa... Kitakachowatoa kimaisha Hadi muwe Kama Qatar ni nini?ana akili hamna na rasilimali hamna?
Mngekufa njaa vibaya... Mumshukuru saana Julius Nyerere unless mngekuwa mnaita maji mma. [emoji16][emoji119]
Ni kweli sababu... Tunawang'ang'ani tuwafokoe sababu ni wajinga. We nchi nzima kwenye Necta hamna division one? You must be dumb and fool.Kama Ni hivyo mbona Bara ndo mnaing'ang'ania Zanzibar??
By the way ubongo wa nyuma una maajabu Gani?
Unasema hatujasoma haya wewe msomi niambie. Ubongo wa nyuma yani
Cerebellum,brainstem,pons Na medulla oblongata Ina vitu Gani special?
"Within confinements of their premises". Fullstop!Hiyo marufuku ni kwa niggers tu lkn 5 Star Hotels wanauza siyo tu chakula hata drugs na Ukahaba rukhsa!
niambie ubongo wa nyuma unaathiri vipi akili/uwezo wa kufikiria Kwa binadamu?Ni kweli sababu... Tunawang'ang'ani tuwafokoe sababu ni wajinga. We nchi nzima kwenye Necta hamna division one? You must be dumb and fool.
Na inafika muda unaona ubongo wa nyuma ukiwa na dysfunctional au impairment haileti shida kwenye afya ya akili.. unajielewa kweli Makame? [emoji16]
Kwanini Hii isiwe racist? Wanajua huwezi kumpangia Mzungu muda wa kula atakushtaki Hadi the Hague na akiona una maringo anachukua kakisiwa kabisaa."Within confinements of their premises". Fullstop!
Povu zito!!!!Bora warudi bara...nashangaa unapapendaje Zanzibar wakati ni mji uliokufa kama kilwa, bagamoyo e.t.c Hii ni miji ilitakuwa ibaki kuwa makumbusho tu.
Kama Zanzibar nchi lakini haija hata lift moja inayofanya kazi. Watu wananing'inia kwenye magorofa mabovu na yananuka Dunia nzima.
C'moooon Kama Kuna mbara anakomalia Zanzibar namuonea huruma. Bora niende Uganda kutafuta maisha na kuishi kuliko kukaa kwenye kisiwa chenye magofu Kama Bagamoyo au Kilwa tu.
Sikai jumba la makumbusho hata siku moja Mimi.
Yani niache shughuli zangu muhimu hapa nikae nakufafanulia functions za brain? Na kama unaamini Kama parts ya brain ikiwa distorted and disturbed huyo mtu ataendelea kuwa na utimamu wa akili basi you've a long way to go academically?Polepole msomi...niambie ubongo wa nyuma unaathiri vipi akili/uwezo wa kufikiria Kwa binadamu?
Punguza jazba. Hata mzungu atafuata raratibu na mila na desturi za Zanzibar. Na akivunja sheria atakula bakora tu. Hakuna namna.Kwanini Hii isiwe racist? Wanajua huwezi kumpangia Mzungu muda wa kula atakushtaki Hadi the Hague na akiona una maringo anachukua kakisiwa kabisaa.
Wazungu nawakubali saana.
Pia kuna waislamu ambao watakuwa hawafungi(kisheria), nao wanaingia kwenye hili katazo.Kwamba ZANZIBAR ni Muslims pekee wanaishi?
Kwa lugha nyingine hujui...Yani niache shughuli zangu muhimu hapa nikae nakufafanulia functions za brain? Na kama unaamini Kama parts ya brain ikiwa distorted and disturbed huyo mtu ataendelea kuwa na utimamu wa akili basi you've a long way to go academically?
Mazungu yanakula barabarani, yanatembea na chupi Hadi vijijini... Wanakenua tu wale matahira. Akifanya hivyo mswahili mwenzao wanampa bakora.Punguza jazba. Hata mzungu atafuata raratibu na mila na desturi za Zanzibar. Na akivunja sheria atakula bakora tu. Hakuna namna.
Hata wewe kama unataka kula mchana kula hadi uvimbiwe; ila sio hadgarani.
Very simple tu. Sjui unakwazika wapi. Huu ni utamaduni wa Zanzibar lazima uheshimiwe. Ala!
Unataka zanzibar ipokee kila aina ya uchafu? No way. Lazima waenzi utamaduni wao na mgeni akija afuate. Akizingua tia bskra tu.