mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Ndiyo maana sina mpango wa kwenda Zanzibar na soon watalii wataacha kuja huko, this is beyond stupidity.Bakia nyumbani kweni ivi ukiwa KAHAMA si unakua free baki huko basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana sina mpango wa kwenda Zanzibar na soon watalii wataacha kuja huko, this is beyond stupidity.Bakia nyumbani kweni ivi ukiwa KAHAMA si unakua free baki huko basi
Na wala sie hatuwataki sijawai kufika huko nacwala sifikilii kufikaHamkuitwa kuja zenji mumekuja wenyewe kwaio haya ndo maisha yetu
ukitaka Maisha yako bara kupo nenda uko wala huulizwi
Ww umekuja mjini juzi tu tulia apoNdiyo maana sina mpango wa kwenda Zanzibar na soon watalii wataacha kuja huko, this is beyond stupidity.
hhhhhhhhhNa wala sie hatuwataki sijawai kufika huko nacwala sifikilii kufika
Zanzibar ikifika saa Kumi nambili jioni vituo vya kuuzia mafuta wanafunga wauzaji wanaenda kufutari na kusaliHi imani wanayo Wazanzibari wengi sana, kwamba kama sio ccm/muungano then Zanzibar ingekua kama sijui kama Qatar nk, ni moja kati ya iamni ya kijinga sana, maendeleo hayaji tu kwasababu ya location uliopo, yanakuja kwasababu ya bidii ya watu husika. Nimeenda Zanzibar, almost kila mwaka naendaga kumpumzika huko, najua Unguja vizuri hadi kule mchangani; Tanzania hi, hakuna watu wavivu kama Wazanzibari, wale wote wano uza hata nguo na vitu vingine kule pwani utakuta ni watu wa bara, wafanyakazi wa hotelini almost wote ni kutoka bara. Hakuna watu wavivu kama nyie. Hiyo Qatar ingekujaje na uvivu wenu? Sasa hivi Zanzibar pia inachangamka just because ina rais kutoka bara, angekua mla urojo kama nyie hata hiki kinachp fanyika kisingefanyika wala.
Swali la mwisho kwenu mnao amini kwamba Zanzibar ingeendelea kama Qatar; hivi visiwa vya Comoro, kijografia na kiutamaduni wana tofauti gani na Zanzabar? Kila kitu ni sawa, kitu pekee kilicho tofauti na nyie ni lugha tu, wao wanaongea Kifaransa while nyie ni waswahili na kingereza; Comoro ina maendeleo gani? Shule tu hamtaki kwenda!
Kumbe mzee unaelewa kwamba hii si Mara ya kwanza, sasa kufunga kwenu ndo mfunge na migahawa yetu?kwani hili ni mara ya kwanza kufanyika zanzibar?
Nani anakunyanyasa ww acha upimbi kijana
Hata hpo unapofikia pamejengwa na wabara ndo mna unapenda kuja kupumzika hukuHi imani wanayo Wazanzibari wengi sana, kwamba kama sio ccm/muungano then Zanzibar ingekua kama sijui kama Qatar nk, ni moja kati ya iamni ya kijinga sana, maendeleo hayaji tu kwasababu ya location uliopo, yanakuja kwasababu ya bidii ya watu husika. Nimeenda Zanzibar, almost kila mwaka naendaga kumpumzika huko, najua Unguja vizuri hadi kule mchangani; Tanzania hi, hakuna watu wavivu kama Wazanzibari, wale wote wano uza hata nguo na vitu vingine kule pwani utakuta ni watu wa bara, wafanyakazi wa hotelini almost wote ni kutoka bara. Hakuna watu wavivu kama nyie. Hiyo Qatar ingekujaje na uvivu wenu? Sasa hivi Zanzibar pia inachangamka just because ina rais kutoka bara, angekua mla urojo kama nyie hata hiki kinachp fanyika kisingefanyika wala.
Swali la mwisho kwenu mnao amini kwamba Zanzibar ingeendelea kama Qatar; hivi visiwa vya Comoro, kijografia na kiutamaduni wana tofauti gani na Zanzabar? Kila kitu ni sawa, kitu pekee kilicho tofauti na nyie ni lugha tu, wao wanaongea Kifaransa while nyie ni waswahili na kingereza; Comoro ina maendeleo gani? Shule tu hamtaki kwenda!
Nenda mkoani kwako kafungue mgahawa wako tuone kama utalalamika hpaKumbe mzee unaelewa kwamba hii si Mara ya kwanza, sasa kufunga kwenu ndo mfunge na migahawa yetu?
Point ni kwamba kwa nini waislam wakifunga wanazuia na wengine kula migahawani? Kwani wakristo na kwaresma wamewazuia waislam kula hadharani?Kwani na Nyie si Ni kwaresma?hapa wakulalamika Ni atheist
We mzee unaongea kiubishani tu huna points za msingi za kutetea upumbavu wenuNenda mkoani kwako kafungue mgahawa wako tuone kama utalalamika hpa
mkija kuishi sehemu za watu heshimuni tamaduni zao kama zinakukera njia nyeupeeeee
tatizo untka kila kitu kiende kma mlivozoea.We mzee unaongea kiubishani tu huna points za msingi za kutetea upumbavu wenu
Hebu tujiulize nani alikua anaijua iyo kwaresma dunia nzima hpa iyo kwaresma imetambulika kma Ramadhani?Point ni kwamba kwa nini waislam wakifunga wanazuia na wengine kula migahawani? Kwani wakristo na kwaresma wamewazuia waislam kula hadharani?
Natembelea mikoa mingi sana mkuu, mikoa yote ya Tanzania bara naijua tena vizuri tu; hi hanizuii mimi kwenda/kuja Zanzibar kutembea, ni sehemu ya matembezi yangu. Nyie ni wavivu halafu mnafikiria eti mkiachwa mtakua kama Qatar, Qatar ya Pemba?Hata hpo unapofikia pamejengwa na wabara ndo mna unapenda kuja kupumzika huku
kwanini usiende uko uko kwenu ambapo mna eneo kubwa sanaaa ukachagua sehemu ya kupumzika
Yni akili za kijinga ndo zilokutawala
We kama una pesa nenda ukatembee majuu mbona unapapenda kwetu ? Wavivu nyie au sie ambao mnaogopa ata kuzalisha watoto wa5Natembelea mikoa mingi sana mkuu, mikoa yote ya Tanzania bara naijua tena vizuri tu; hi hanizuii mimi kwenda/kuja Zanzibar kutembea, ni sehemu ya matembezi yangu. Nyie ni wavivu halafu mnafikiria eti mkiachwa mtakua kama Qatar, Qatar ya Pemba?
Unatia majaribuni waliofungaNikila mgahawani kwanini unifuate?
Wazenji hawajui lishe wao asubuhi wanakula boflo na chai mchana wanakula ubwabwa na michuzi ya mimaji usiku hawali , ndiyo maana binti waki Zanzibar wanyonge hawaja nona hawa matako wamekondeana hawana mvutoWe kama una pesa nenda ukatembee majuu mbona unapapenda kwetu ? Wavivu nyie au sie ambao mnaogopa ata kuzalisha watoto wa5
Au familia za wazenji.unawapa kula ww?
tuachieni wnyw mbona wakija huko mnawafukuzia farisayo au kardayo ww?Wazenji hawajui lishe wao asubuhi wanakula boflo na chai mchana wanakula ubwabwa na michuzi ya mimaji usiku hawali , ndiyo maana binti waki Zanzibar wanyonge hawaja nona hawa matako wamekondeana hawana mvuto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwafukuzii hawana tako maziwa hawana mvuto hawajui kuvaa Wana vaa manguo meusi ukiwaangalia hupati hisia mapaja membamba mpaka unaogopa wakivua nguotuachieni wnyw mbona wakija huko mnawafukuzia farisayo au kardayo ww?
kweli enzi za babu yako alie utumwani alifungwa minyororo na akazuiwa kula kilazima na sultani, sishangai nawe ukirithi udhalimu huo maana kipindi hiko mlikuwa mnachapwa na mijeledi kabisa na hao “ndugu zenu wa damu" kama mnavyowaitaHamia Dar kipindi cha mfungo ,wazanzibari tutaendelea na utaaratibu wetu tangu enzi za babu.