Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hii ni nzur kwa sababu haina riba ambayo humuongezea mchangiaji gharama ila kwa wenzangu wakatoliki huku bara sijui kama tutaelewa. Naomba iletwe tulio tayari tujiunge kuokoa gharama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nyinyi wagalatia mnavyowaona waisrael kuwa mabwana zenuMkanisa yanabomolewa
Mkristo akila kwenye ramadani anafungwa jela
Hawa hata wakitoka huko Zanzibar akili yao ipo kuutukuza uislam zaidi, tena ule wa kuwaona waarabu wote ni ndugu wa mtume, wakija kuongoza huku huwapa waarabu mbuga, bandari, misitu, n.k.
Hata kama hawataki mi najiunga hali ya sasa ya maisha lazima niangalie nafuu.Vipi Wagalatia wanaweza kujiunga na bima hii?
Mkanisa yanabomolewa
Mkristo akila kwenye ramadani anafungwa jela
Hawa hata wakitoka huko Zanzibar akili yao ipo kuutukuza uislam zaidi, tena ule wa kuwaona waarabu wote ni ndugu wa mtume, wakija kuongoza huku huwapa waarabu mbuga, bandari, misitu, n.k.
Ingekuwa hivyo kungekuwa na miradi kibao ya waisrael hapa nchini lakini hali ni tofauti kabisaKama nyinyi wagalatia mnavyowaona waisrael kuwa mabwana zenu
Hiyo benki inapataje faida?Hii ni nzur kwa sababu haina riba ambayo humuongezea mchangiaji gharama ila kwa wenzangu wakatoliki huku bara sijui kama tutaelewa. Naomba iletwe tulio tayari tujiunge kuokoa gharama.
Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam
Jionee mwenyewe:
Bima ya Kiislam uendeshwaji wake huitwa "Takaful: nikamuuliza AI ChatGPT anifafanunulie:
Ni nini bima ya Takaful?
Bima ya Takaful ni mfumo wa bima uliojikita katika misingi ya Kiislamu ambao unalenga kutoa ulinzi na usalama wa kifedha kwa wanachama wake. Tofauti na mfumo wa bima wa kawaida, ambapo kampuni ya bima ina jukumu la kubeba hatari zote za wanachama na kutoa fidia kwa madai yanayotokea, mfumo wa Takaful unafanya kazi kwa msingi wa ushirikiano na kugawana hatari kati ya wanachama.
Katika mfumo wa Takaful, wanachama hukubaliana kuweka michango ya kifedha katika mfuko wa pamoja, ambao unatumika kulipia madai ya wanachama wanaopatwa na hasara. Michango hii inatumika kujenga hazina ya Takaful ambayo inasimamiwa na kampuni ya Takaful. Ikiwa mwanachama anapata hasara, hulipwa fidia kutoka kwenye hazina hiyo.
Mfumo wa Takaful unazingatia misingi ya Kiislamu kama vile kugawana hatari, uwazi, ushirikiano, na kuepuka riba (riba ni haramu katika Uislamu). Pia, mfumo wa Takaful unazingatia maadili ya kijamii na kusaidiana katika jamii.
Kuna aina mbalimbali za bima ya Takaful, kama vile Takaful ya afya, Takaful ya gari, Takaful ya elimu, na nyinginezo. Lengo la bima ya Takaful ni kutoa ulinzi wa kifedha na usalama kwa wanachama wake wakati wa matukio ya hatari na hasara.
hanzo: https://chat.openai.com/
Benki inapataje faida?Bima ya Kiislam uendeshwaji wake huitwa "Takaful: nikamuuliza AI ChatGPT anifafanunulie:

Hakuna Bima ya Kitimoto huko?Tunaitaka haraka sana Tanganyika.
Kama ilivyoshamiri benki ya Kiislam mpaka benki zingine zikafunhguwa vitengo vya Islamic Banking basii ndiyo zaidi.
Mabroukin Zanzibar.
Yap ni moja ila makanisa makubwa ya kihistoria ni zaidi ya moja hata kabla ya kufikilia Zanzibar itakuwa nchi.Hilo ni kanisa moja tu na lilijengwa zamani sana kabla hata ya mapinduzi.
Kwanini hawataki kutoa ushirikiano kuruhusu wakristo wajenge makanisa ya ziada ?
Takhbiiiiiirrr !!Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam
Jionee mwenyewe:
Bima ya Kiislam uendeshwaji wake huitwa "Takaful: nikamuuliza AI ChatGPT anifafanunulie:
Ni nini bima ya Takaful?
Bima ya Takaful ni mfumo wa bima uliojikita katika misingi ya Kiislamu ambao unalenga kutoa ulinzi na usalama wa kifedha kwa wanachama wake. Tofauti na mfumo wa bima wa kawaida, ambapo kampuni ya bima ina jukumu la kubeba hatari zote za wanachama na kutoa fidia kwa madai yanayotokea, mfumo wa Takaful unafanya kazi kwa msingi wa ushirikiano na kugawana hatari kati ya wanachama.
Katika mfumo wa Takaful, wanachama hukubaliana kuweka michango ya kifedha katika mfuko wa pamoja, ambao unatumika kulipia madai ya wanachama wanaopatwa na hasara. Michango hii inatumika kujenga hazina ya Takaful ambayo inasimamiwa na kampuni ya Takaful. Ikiwa mwanachama anapata hasara, hulipwa fidia kutoka kwenye hazina hiyo.
Mfumo wa Takaful unazingatia misingi ya Kiislamu kama vile kugawana hatari, uwazi, ushirikiano, na kuepuka riba (riba ni haramu katika Uislamu). Pia, mfumo wa Takaful unazingatia maadili ya kijamii na kusaidiana katika jamii.
Kuna aina mbalimbali za bima ya Takaful, kama vile Takaful ya afya, Takaful ya gari, Takaful ya elimu, na nyinginezo. Lengo la bima ya Takaful ni kutoa ulinzi wa kifedha na usalama kwa wanachama wake wakati wa matukio ya hatari na hasara.
hanzo: https://chat.openai.com/
Du kwa hiyo mateja wote wa ngada sasa wanapatiwa matibabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi waendelee kutumia ngada kwa raha zaoRukhsa yeyote
Vipi huduma ya mbususuLini au wapi ulisikia huduma za Kiislam zikibaguwa wengine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu hamuishiwi maneno khaaahNasikia wanaojinyea kwa bahati mbaya pia itawasaidia Pempass?
Vichwa vimeganda hili andiko watalipita kama hawalioni.Bima ni bima hakuna ya Kikristu Wala ya kiislam principle za bima ndio hiyo hiyo ya third part kwenye doctrine of privity to contract.
Mikopo hata mkiita jina gani faida itokanayo na fedha ya mkopo ni riba tuu. Mengine ni kujitekenya na kucheka mwenyewe