Zari afanya kufuru kwa pesa za Ivan

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Katika hali ya kuonesha kukerwa na tabia ya Diamond kutoka na mshiriki wa big brother 2013, Dillish Mathews, Zari amepost kwa page yake ya snapchat kuonesha kwamba hachoshwi na batavuzi ndogo ndogo na kuamua kununua gari mbili aina ya mercedes
benz g 63 na bentley mulsane.


 
ahahaaa ila diamond ni muhuni jamani.halafu hatumiagi kondom.kuna yule demu wa mwanza aliesema ana mimba yake alikutana nae kwenye corrodor hotelini katokea chumba cha jirani kugegedwa na dulyskyes akamuita room kwake nae akamlala kavu
Alijuaje demu wa nani kati yao
 
Mhhhh hivi ni kweli kuna mtifuano?
 
Muda Si mrefu Zari ataanza kuoa wanamume ili wamtoe stress!!
Namshauri aje huku usukumani tumpe shughuli !!! Dogo wa dar naona kama kawa chips yai la American chips!! Kino!!!!! Hahahaaaaa [emoji3][emoji3]
 
Muda Si mrefu Zari ataanza kuoa wanamume ili wamtoe stress!!
Namshauri aje huku usukumani tumpe shughuli !!! Dogo wa dar naona kama kawa chips yai la American chips!! Kino!!!!! Hahahaaaaa [emoji3][emoji3]

Bwahahahahaa!!!Kawa laini laini...
 
Ile team ina majibu walivyoangaika na kupost picha feki eti mond kamuoa rasmi ahaaaa. Kuna siku hamisa ataitwa mkewe, huyu dogo ni bwana wa wengi. Yangu macho. Zari punguza stress.
 
yani hapo you can tell kabisa she is stressed maskini doh i pity her....

sio kwa hizo post na maneno hayo,mara pinto will be a millionaire mara r.i.p don,mara i don fight over[emoji533]...dah sad!!!

bora ake ana mihela,i hope she gon get over it soon or later...
 
Duh hivi hili goma nawezaje kulikamatia nilitoe stress aisee..naona Mondi majukumu yamemzidi
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…