JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Katika hali ya kuonesha kukerwa na tabia ya Diamond kutoka na mshiriki wa big brother 2013, Dillish Mathews, Zari amepost kwa page yake ya snapchat kuonesha kwamba hachoshwi na batavuzi ndogo ndogo na kuamua kununua gari mbili aina ya mercedes
benz g 63 na bentley mulsane.
benz g 63 na bentley mulsane.