Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula Nini wala wamelala vipi.
Zari anamwambia Diamond huwezi furahisha dunia wakati wakwako hawana furaha na wewe wala kuwajali.
View attachment 1430809
Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya Bwana Diamond kutangaza ktaka kutoa mamilioni ya pesa kwa kulipia kodi wananchi wananchi..Zari kamchana alipie gharama za kuwatunza watoto wawili waliopo SouthA Africa,
Sasa hii hbr inahusikaje na jukwaa la siasa?
Licha ya Bwana Diamond kutangaza ktaka kutoa mamilioni ya pesa kwa kulipia kodi wananchi wananchi..Zari kamchana alipie gharama za kuwatunza watoto wawili waliopo SouthA Africa,
Wapi kunateketea mkuu? Kigoma au? Usitegemee zari afurahi, na yote hii sionishu ya watoto. Ni wivu kwa mzazi mwenzie.Naona wapuuzi wengi wanasapoti diamond kulipia kodi familia 500 wakati kwake kunateketea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie zari apambane na Hali yake aache kutafuta Kiki za kipuuzi yeye si ajiita boss lady na jeuriWe mbwa usinitag kama unanyonya magugu ya domo hyo ni wewe, nitolee Shobo zako.. nenden Uko mkalipiwe kodi Mpewe na mimba, mxieew mwana mjaalana uliyekosa laana mxiee
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo ni mjeuri tofauti na wengine na mpenda Kiki kwanza kawabadilisha watoto uraia bila hata kumjulisha Diamond kamzuia diamond kuonana na watoto wake kisa wameachana ukiachana na Hilo amekuwa alitoa kauli chafu kwa diamond, Tufanye wewe Ni diamond unafanyaje kwa mwanamke jeuri Kama huyu.Kuna wanawake wengine wapo Safi unaweza ukaachana nao lakini Hilo alizuii kuzuia watoto kuwasiliana na baba yao na wanatoa ushirikiano wakutosha tu kwa mzazi mwenza.Naye ni mama wa watoto awalee tu wakikua watakuwa wakwake, Usawa ule wa 50/50 wanaotaka ndio huo sasa.. Baba akizingua kuleta matumizi mama unalea tu au ukiona vipi unambwagia watoto wake awalee wenyewe..
Tatizo la Wanawake aka Mama zetu wakizaa wanaona wamemaliza kila kitu na Baba sasa ndio muwajibikaji hapana tambueni kuzaa ni uumbaji tu na majukumu Mungu aliyowapa kama sisi tulivyopewa majukumu ya kumwaga mbegu za uzazi..
Ulalamikaji wake hauna tija Kama ana mahusiano mabovu na mzazi wake? Huo msaada anaodai ataupataje? Watoto kawazuia kuja Tanzania haitoshi amembock mzazi wake alafu analalamika public sasa sisi tutamuolewaje![emoji23][emoji23][emoji23] bosslady lakin ana haki ya kulalamika
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndio anajivua nguo kwasababu kwanza kambock mzazi wake watoto kawabadilisha uraia,baba muislamu watoto anawapeleka kanisani,kawazuia watoto kuja Tanzania mwisho kabisa alisema hategemei child support ana hela zakutosha za kulea watoto bila baba kwa kauli hii ya leo watu watamuelewaje?😂😂😂
Diamond anavuliwa nguo.
Hili jambo watalimaliza wenyewe, maana sisi hatuwezi kuujua ukweli kushinda wao.Yeye ndio anajivua nguo kwasababu kwanza kambock mzazi wake watoto kawabadilisha uraia,baba muislamu watoto anawapeleka kanisani,kawazuia watoto kuja Tanzania mwisho kabisa alisema hategemei child support ana hela zakutosha za kulea watoto bila baba kwa kauli hii ya leo watu watamuelewaje?
Nyie wanamke mna matatizo yenu Kama kweli zari ana Nia ya dhati ya anacho lalamikia anatakiwa kutengeneza mahusiano mazuri na diamond na pia awaruhusu watoto wake waje Tanzania na kuweka mazingira rafiki kwa watoto kuwasiliana na baba yao hapa atafanya Jambo la msingi na Kama diamond atasaidia malalamiko yake yatakuwa sahihi tofauti na hapo atakuwa anatafuta Kiki kwa pikipiki.Wanaume wengine bwana😏
Sawa zari atalifanyia kazi tamko lako.Nyie wanamke mna matatizo yenu Kama kweli zari ana Nia ya dhati ya anacho lalamikia anatakiwa kutengeneza mahusiano mazuri na diamond na pia awaruhusu watoto wake waje Tanzania na kuweka mazingira rafiki kwa mzazi wake kuwasiliana na baba yao hapa atafanya Jambo la msingi na Kama diamond atasaidia malalamiko yake yatakuwa sahihi tofauti na hapo atakuwa anatafuta Kiki kwa pikipiki.