Kama alii anafanya media tour ili iweje au kuongea mambo yake binafsi ya familia ili iweje?Labda kama wanamatatizo ya uelewa, ukisoma yale maneno hayaoneshi kama mtu analia lia, yanaonesha mtu anayeshangaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alii anafanya media tour ili iweje au kuongea mambo yake binafsi ya familia ili iweje?Labda kama wanamatatizo ya uelewa, ukisoma yale maneno hayaoneshi kama mtu analia lia, yanaonesha mtu anayeshangaa.
Alafu zari kahama nyumba; leo anaitwa mjeuri. Unyanyasike publicly kisa?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mi nimemchallenge kama anajali akaombe legal support watoto si wa kwake yeye hawataki kwani? Hehehhe [emoji23][emoji23][emoji23] mtu ambaye hataki kuelea watoto wake kwa excuses!!!!
Halafu alisema ile nyumba ningeweza kuiuza juu kwa juu wakiwemo humo, hakumbuki Mwanae alikuwa akilelewa kwa nyumba ya mwanaume mwingine hadi waliponunua nyumba yao na kwa busara tu mama hawezi acha watoto wengine huku wengine huku akaamua kuwakusanya wote sehemu moja awalee, halafu anakuja kuropoka jambo kama hili and wenzio wapo hapa kumtetea [emoji3]
Kwa sisi tunaomjua zari, zari ana asili ya ujeuri nakupenda kushindana na mwanaume safari anakula ujeuri wake angekuwa kweli ana Nia ya dhati inakuaje account yake ya insta anaigeuza sehemu ya kumtukana mwenza wake matusi Mara unamwita mbwa mbona hili ulizungumzii kwa si ujeuri Ni Nini?Ya block 89 niliisikiliza; ila Zari alipokuja kuongea, mtu yeyote mwenye akili timamu atajua nani anasema ukweli. Afu baada ya interview ya Zari mbona Dai hakujitokeza kupinga? I won't trust a man who denied his own blood publicly. Kwa uongo tu yupo vizuri Father Abraham.
Btw wote ni wajeuri; ila Dai ni mjinga pia.
Kwenye interview ya Father Abraham sikumbuki kama alisema halei watoto wake coz aliitwa mbwa. So ni ukosefu wake tu wa akiliMbona uzungumzii Yale matusi aliyokuwa anamtukana diamond alafu diamond akakausha unazani wataanzania walikuwa hawaoni
Kwani anaeleta hili suala public si yeye huyo zari kwani sisi tunajua anachofanya diamond?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mi nimemchallenge kama anajali akaombe legal support watoto si wa kwake yeye hawataki kwani? Hehehhe [emoji23][emoji23][emoji23] mtu ambaye hataki kuelea watoto wake kwa excuses!!!!
Halafu alisema ile nyumba ningeweza kuiuza juu kwa juu wakiwemo humo, hakumbuki Mwanae alikuwa akilelewa kwa nyumba ya mwanaume mwingine hadi waliponunua nyumba yao na kwa busara tu mama hawezi acha watoto wengine huku wengine huku akaamua kuwakusanya wote sehemu moja awalee, halafu anakuja kuropoka jambo kama hili and wenzio wapo hapa kumtetea [emoji3]
Huyo zari ana matatizo unamtetea bure mbona diamond atazungumzia mambo yake ya kifamilia yeye kinachomfanya alalamike public Ni nini? Kama so kutafuta Kiki Ni Nini Kama anashida na diamond si akamfuate anapokaa.Kwenye interview ya Father Abraham sikumbuki kama alisema halei watoto wake coz aliitwa mbwa. So ni ukosefu wake tu wa akili
Wewe mzazi mwenzako unamtukanaga matusi Kama huyo zari?Kwenye interview ya Father Abraham sikumbuki kama alisema halei watoto wake coz aliitwa mbwa. So ni ukosefu wake tu wa akili
Alafu zari kahama nyumba; leo anaitwa mjeuri. Unyanyasike publicly kisa?
Kwani anaeleta hili suala public si yeye huyo zari kwani sisi tunajua anachofanya diamond?
Mambo ya familia ya Dai utayasikia kupitia kwa lokole na aristote ndo wasemaji wao. PatheticHuyo zari ana matatizo unamtetea bure mbona diamond atazungumzia mambo yake ya kifamilia yeye kinachomfanya alalamike public Ni nini? Kama so kutafuta Kiki Ni Nini Kama anashida na diamond si akamfuate anapokaa.
Sio kigezo cha kutotunza watoto wake; mbona mbwa anatunza watoto wake vizuri tu.Wewe mzazi mwenzako unamtukanaga matusi Kama huyo zari?
Kumbe kutukana kwake na kutotoa ushirikiano kwa mzazi mwenza Ni hasira basi na sisi mtuelewe tunapokuwa tunapiga wanawake Ni hasira piaMi sikutaka kucomment mambo ya Zari na Diamond sababu yana mvurugano sana, nilicomment mwanzo kabisa juu ya mtazamo wa wanawake wa bongo na wanaume zao juu ya malezi ya watoto... ukiwasoma katikati ya mistari utaelewa. Wanaume wanamsupport Diamond sababu pia si walezi wazuri na wanawake wanamuattack Zari sababu wanajisikia vizuri kudhani na yeye anapata tabu wanazopata wao.
Ukijaribu kuwa fair kwenye hili ni kwamba malezi sio ombi, mwanaume hatakiwi kuombwa wala kunyenyekewa kutimiza hili. Na yeyote kati ya mama na baba anatakiwa kufanya juhudi za makusudi kwa utaratibu unaotakiwa kuweza kupata haki ya kuwalea watoto wake.
Mtu yeyote mwenye uelewa ataelewa hasira ya Zari ilikuwa trigged pale ambapo Diamond alifanya matukio weee halafu anataka kurudi kutaka kuongea na wanae kama hakuna chochote kilichotokea, hapo hapo kuna kipindi alikuwa anatafutwa aongee na wanae hashikiki in a name of being busy, mama yeyote asiyependa kufujwa kihisia angefanya kama Zari alivyofanya.
Mi sikutaka kucomment mambo ya Zari na Diamond sababu yana mvurugano sana, nilicomment mwanzo kabisa juu ya mtazamo wa wanawake wa bongo na wanaume zao juu ya malezi ya watoto... ukiwasoma katikati ya mistari utaelewa. Wanaume wanamsupport Diamond sababu pia si walezi wazuri na wanawake wanamuattack Zari sababu wanajisikia vizuri kudhani na yeye anapata tabu wanazopata wao.
Ukijaribu kuwa fair kwenye hili ni kwamba malezi sio ombi, mwanaume hatakiwi kuombwa wala kunyenyekewa kutimiza hili. Na yeyote kati ya mama na baba anatakiwa kufanya juhudi za makusudi kwa utaratibu unaotakiwa kuweza kupata haki ya kuwalea watoto wake.
Mtu yeyote mwenye uelewa ataelewa hasira ya Zari ilikuwa trigged pale ambapo Diamond alifanya matukio weee halafu anataka kurudi kutaka kuongea na wanae kama hakuna chochote kilichotokea, hapo hapo kuna kipindi alikuwa anatafutwa aongee na wanae hashikiki in a name of being busy, mama yeyote asiyependa kufujwa kihisia angefanya kama Zari alivyofanya.
Kama atafuti Kiki kinachomfanya awashwewashwe kuja huku public Ni Nini?mbona watu wengi wanafamilia zao na wamekausha.Mambo ya familia ya Dai utayasikia kupitia kwa lokole na aristote ndo wasemaji wao. Pathetic
Zari si mtu wa kutumia watoto wake kupata kiki: she is too mature for that. Put some respek on her name
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamtetea kwasababu una akili Kama zari ila nakushauri Kama huyo ndio role model wako utapata Mume kamwe wa kuishi nae muda mrefu.Ndugu yangu unashushaga point jamani mweeeh. Kwa kweli malezi sio ombi; hutaki kulea usizae period
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia usijibu kama upo karantini. Ona ulichokifanya sasakubeba mimba yangu,sio kwamba kuna mikataba tumesign ya makubaliano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Hawa wanaojiita maboss lady safari hii wataumbuka Sana kaanza madam Rita na anafata huyu ndo maana tunasema #nyuma ya boss lady Kuna sponsor who next?Revealing her true colours now..
Unamtetea kwasababu una akili Kama zari ila nakushauri Kama huyo ndio role model wako utapata Mume kamwe wa kuishi nae muda mrefu.
Kama atafuti Kiki kinachomfanya awashwewashwe kuja huku public Ni Nini?mbona watu wengi wanafamilia zao na wamekausha.