Zari amlipua Diamond kwamba hatoi hela ya matunzo ya watoto wake baada ya kutangaza kulipa kodi za kaya 500

Labda kama wanamatatizo ya uelewa, ukisoma yale maneno hayaoneshi kama mtu analia lia, yanaonesha mtu anayeshangaa.
Kama alii anafanya media tour ili iweje au kuongea mambo yake binafsi ya familia ili iweje?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mi nimemchallenge kama anajali akaombe legal support watoto si wa kwake yeye hawataki kwani? Hehehhe [emoji23][emoji23][emoji23] mtu ambaye hataki kuelea watoto wake kwa excuses!!!!

Halafu alisema ile nyumba ningeweza kuiuza juu kwa juu wakiwemo humo, hakumbuki Mwanae alikuwa akilelewa kwa nyumba ya mwanaume mwingine hadi waliponunua nyumba yao na kwa busara tu mama hawezi acha watoto wengine huku wengine huku akaamua kuwakusanya wote sehemu moja awalee, halafu anakuja kuropoka jambo kama hili and wenzio wapo hapa kumtetea [emoji3]
Alafu zari kahama nyumba; leo anaitwa mjeuri. Unyanyasike publicly kisa?
 
Ya block 89 niliisikiliza; ila Zari alipokuja kuongea, mtu yeyote mwenye akili timamu atajua nani anasema ukweli. Afu baada ya interview ya Zari mbona Dai hakujitokeza kupinga? I won't trust a man who denied his own blood publicly. Kwa uongo tu yupo vizuri Father Abraham.

Btw wote ni wajeuri; ila Dai ni mjinga pia.
Kwa sisi tunaomjua zari, zari ana asili ya ujeuri nakupenda kushindana na mwanaume safari anakula ujeuri wake angekuwa kweli ana Nia ya dhati inakuaje account yake ya insta anaigeuza sehemu ya kumtukana mwenza wake matusi Mara unamwita mbwa mbona hili ulizungumzii kwa si ujeuri Ni Nini?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mi nimemchallenge kama anajali akaombe legal support watoto si wa kwake yeye hawataki kwani? Hehehhe [emoji23][emoji23][emoji23] mtu ambaye hataki kuelea watoto wake kwa excuses!!!!

Halafu alisema ile nyumba ningeweza kuiuza juu kwa juu wakiwemo humo, hakumbuki Mwanae alikuwa akilelewa kwa nyumba ya mwanaume mwingine hadi waliponunua nyumba yao na kwa busara tu mama hawezi acha watoto wengine huku wengine huku akaamua kuwakusanya wote sehemu moja awalee, halafu anakuja kuropoka jambo kama hili and wenzio wapo hapa kumtetea [emoji3]
Kwani anaeleta hili suala public si yeye huyo zari kwani sisi tunajua anachofanya diamond?
 
Kwenye interview ya Father Abraham sikumbuki kama alisema halei watoto wake coz aliitwa mbwa. So ni ukosefu wake tu wa akili
Huyo zari ana matatizo unamtetea bure mbona diamond atazungumzia mambo yake ya kifamilia yeye kinachomfanya alalamike public Ni nini? Kama so kutafuta Kiki Ni Nini Kama anashida na diamond si akamfuate anapokaa.
 
Alafu zari kahama nyumba; leo anaitwa mjeuri. Unyanyasike publicly kisa?

Mi sikutaka kucomment mambo ya Zari na Diamond sababu yana mvurugano sana, nilicomment mwanzo kabisa juu ya mtazamo wa wanawake wa bongo na wanaume zao juu ya malezi ya watoto... ukiwasoma katikati ya mistari utaelewa. Wanaume wanamsupport Diamond sababu pia si walezi wazuri na wanawake wanamuattack Zari sababu wanajisikia vizuri kudhani na yeye anapata tabu wanazopata wao.

Ukijaribu kuwa fair kwenye hili ni kwamba malezi sio ombi, mwanaume hatakiwi kuombwa wala kunyenyekewa kutimiza hili. Na yeyote kati ya mama na baba anatakiwa kufanya juhudi za makusudi kwa utaratibu unaotakiwa kuweza kupata haki ya kuwalea watoto wake.

Mtu yeyote mwenye uelewa ataelewa hasira ya Zari ilikuwa trigged pale ambapo Diamond alifanya matukio weee halafu anataka kurudi kutaka kuongea na wanae kama hakuna chochote kilichotokea, hapo hapo kuna kipindi alikuwa anatafutwa aongee na wanae hashikiki in a name of being busy, mama yeyote asiyependa kufujwa kihisia angefanya kama Zari alivyofanya.
 
Huyo zari ana matatizo unamtetea bure mbona diamond atazungumzia mambo yake ya kifamilia yeye kinachomfanya alalamike public Ni nini? Kama so kutafuta Kiki Ni Nini Kama anashida na diamond si akamfuate anapokaa.
Mambo ya familia ya Dai utayasikia kupitia kwa lokole na aristote ndo wasemaji wao. Pathetic

Zari si mtu wa kutumia watoto wake kupata kiki: she is too mature for that. Put some respek on her name

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mzazi mwenzako unamtukanaga matusi Kama huyo zari?
Sio kigezo cha kutotunza watoto wake; mbona mbwa anatunza watoto wake vizuri tu.

Wakati anamwita Hamisa "bitch is dying for fame" na mchawi hamkuja kusema anamtukana mzazi mwenzie. Btw here they are; wanamlea Dylan wao. Apotezee yote wawalee kina Tiffa kwa amani. Yani nikimuangalia Tee afu nawaza eti kuna baba kamsusa huwa naishia kumuonea huruma huyo baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sikutaka kucomment mambo ya Zari na Diamond sababu yana mvurugano sana, nilicomment mwanzo kabisa juu ya mtazamo wa wanawake wa bongo na wanaume zao juu ya malezi ya watoto... ukiwasoma katikati ya mistari utaelewa. Wanaume wanamsupport Diamond sababu pia si walezi wazuri na wanawake wanamuattack Zari sababu wanajisikia vizuri kudhani na yeye anapata tabu wanazopata wao.

Ukijaribu kuwa fair kwenye hili ni kwamba malezi sio ombi, mwanaume hatakiwi kuombwa wala kunyenyekewa kutimiza hili. Na yeyote kati ya mama na baba anatakiwa kufanya juhudi za makusudi kwa utaratibu unaotakiwa kuweza kupata haki ya kuwalea watoto wake.

Mtu yeyote mwenye uelewa ataelewa hasira ya Zari ilikuwa trigged pale ambapo Diamond alifanya matukio weee halafu anataka kurudi kutaka kuongea na wanae kama hakuna chochote kilichotokea, hapo hapo kuna kipindi alikuwa anatafutwa aongee na wanae hashikiki in a name of being busy, mama yeyote asiyependa kufujwa kihisia angefanya kama Zari alivyofanya.
Kumbe kutukana kwake na kutotoa ushirikiano kwa mzazi mwenza Ni hasira basi na sisi mtuelewe tunapokuwa tunapiga wanawake Ni hasira pia
 
Mi sikutaka kucomment mambo ya Zari na Diamond sababu yana mvurugano sana, nilicomment mwanzo kabisa juu ya mtazamo wa wanawake wa bongo na wanaume zao juu ya malezi ya watoto... ukiwasoma katikati ya mistari utaelewa. Wanaume wanamsupport Diamond sababu pia si walezi wazuri na wanawake wanamuattack Zari sababu wanajisikia vizuri kudhani na yeye anapata tabu wanazopata wao.

Ukijaribu kuwa fair kwenye hili ni kwamba malezi sio ombi, mwanaume hatakiwi kuombwa wala kunyenyekewa kutimiza hili. Na yeyote kati ya mama na baba anatakiwa kufanya juhudi za makusudi kwa utaratibu unaotakiwa kuweza kupata haki ya kuwalea watoto wake.

Mtu yeyote mwenye uelewa ataelewa hasira ya Zari ilikuwa trigged pale ambapo Diamond alifanya matukio weee halafu anataka kurudi kutaka kuongea na wanae kama hakuna chochote kilichotokea, hapo hapo kuna kipindi alikuwa anatafutwa aongee na wanae hashikiki in a name of being busy, mama yeyote asiyependa kufujwa kihisia angefanya kama Zari alivyofanya.

Ndugu yangu unashushaga point jamani mweeeh. Kwa kweli malezi sio ombi; hutaki kulea usizae period

Mtu hujawasiliana watoto wako hadi wanakaribia kukusahau afu unataka watumwe tu kwako ili uje upande nao stejini kwenye show yako. Mmmh tuangalie na wanaume wa kuzaa nao jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya familia ya Dai utayasikia kupitia kwa lokole na aristote ndo wasemaji wao. Pathetic

Zari si mtu wa kutumia watoto wake kupata kiki: she is too mature for that. Put some respek on her name

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama atafuti Kiki kinachomfanya awashwewashwe kuja huku public Ni Nini?mbona watu wengi wanafamilia zao na wamekausha.
 
Ushauri wa bure ndugu chawa hebu mara moja moja uwe unakubali kuwa Diamond ana mambo mengi tu ya kujinga na kipuuzi anafanya, yeye kuwa great musicians kwa ukanda huu haimfutii haya makosa.

Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom