chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
just fun...Sawa tumejua,ila kiombe chanzo chako cha habari kikuambie nini kinachofuata ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
just fun...Sawa tumejua,ila kiombe chanzo chako cha habari kikuambie nini kinachofuata ???
hili ni jukwaa la celebrities, kuzungumzia maisha ya watu maarufu tz, kama hutaki story kama hizi usifungue, ingia majukwaa mengineKwahiyo kama anamtoto mkubwa unataka tufanye nn?
Hahahaha huyo zuleha nae muda si mrefu atakuwa maarufu Hapa bongo alafu humu JF watu watasajili team kwa ajili yake kama ilivyo sasa na team zao.Bora umeongea ww mkuu watu wabishi alaf huyo zuleha Ana mtoto nae kwahiyo zari ni grand ma[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oyeeeeHahahaha huyo zuleha nae muda si mrefu atakuwa maarufu Hapa bongo alafu humu JF watu watasajili team kwa ajili yake kama ilivyo sasa na team zao.
#teamZarri
#teamZuleha
#teamAlikiba
#teamDomo
#teamWema
#teamMange
#teamMange's-X-husband
#teamMangeDiaspora
GREAT THINKER HOYEEEEE
Hakuna tatizo lakini kwann amfiche? Amwite her little sister?[emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780]Mi sipo upande wa zari wala mange,ila je kuna tatizo zari kuwa na mtoto wa umri huo?
Hakuna tatizo lakini kwann amfiche? Amwite her little sister?[emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780]
Na hii hapa Cameraman?Pole yako ndimu zipo, tena weye wa mara mika fulani halafu unajishusha baada ya miezi unakuwa mdogo...eeeeh na bado acha wivu....kasake zako...eeehhhh
Ngoja nikarudie kusoma juu yako...aaaagh
Kwakweli beautifulonyinye siwezi kujua sababu za yeye kumficha huenda ni mwanae kweli au simwanae...ukweli anao yeye na ndugu zake...ana muonekano mzuri yet hata ungekua na watoto saba hakosi mwanaume wa kumchezesha sebeneHakuna tatizo lakini kwann amfiche? Amwite her little sister?[emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780]