utasikia kuwa Diamond ndio alianza kumuacha baada ya kumuambia kuwa anataka kumuoa Hamisa...ha ha ha ha na shuhuda kutoka kwa wadau, wazee wa hide my ID
Hahahaaaaa, nenda kwa rasi simba!!!sijaambua kitu na kinyantuzu changu naona diamond tu
Dai anawezana na wema .....wote vichwa vibovuYote ni sehemu ya maisha..life is full of choices..wanaume tuna matatizo sana..mara nyingi wanawake ni wavumilivu
NakojoaWewe unafanya nini huku [emoji12]
Naskia magazeti ya kesho yataandika HATIMAE TANZANIA YAACHIKAutasikia kuwa Diamond ndio alianza kumuacha baada ya kumuambia kuwa anataka kumuoa Hamisa...
Halafu huku niliko kuna joto sana sijui hiii serikali inatupeleka wapi.....pls da Mange hide my id
Hide my IdUtasikia Da Mange anasema kuwa alikuwa na taarifa hii toka mwaka jana sema hakutaka kusema.Da mange si wa mchezo.....
Ha ha hawalifunga lini? Ndoa inayosubiriwa ni ya Diamond na Wema
kutwa kujiona ana K ya asali.ila uyo mama ana bla bla
am a bosslady ,ooh i make money moves bla bla kibao
Mi nadhani kila mtu ana uhuru na hisia zake...mtu ukiona hapafai sepa...maisha yanahitaji maamuziYaani zari alidhani dhambi ya kumuacha mume na kuchepuka na dogodogo ingemuacha salama? Machozi ya Ivan hayo bora angetulia na familia yake
Hakuna anayetia huruma, ila maneno ya zari yameniumiza kidogoPole, unamhurumia nan kati yao?