Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Unajitajid kumpigia wema debe ila ukumbuke yule hana nyota ya kuolewa zaid ya kutumika
Mbona Da Mange amesema kuwe Wema ana olewa hivi karibuni? kanidanganya Da Mange?
 
Duh Mondi yupo kwenye wakati mgumu sana yaani mabomu kutoka kila kona, kwakweli akivuka hapa salama basi anaMungu wake special
 
0DF831A3-BB00-4D17-B014-4DC833BA7A53.jpeg
Uzuri na tabia yake atafika mbali sana huyu mama!
Beauty is power, alafu she is smart, lethal combination of success and beyond!
YAANI NI MZURI SANA HUYU MWANAMKE TUACHE UTANI JAMANI!
May the Almighty Creators grant you peace!
 
Hana ubavu wa kumwacha Chibu yeye alibugi pale pale penzi lilipokuwa kwake angeng'ang'ania wafunge ndoa kwanza kabla ya yote hapo ndo kabugi. Na akifanikiwa ndoa drama zitakwisha.
 
Kwakweli km ni mchawi basi nilikua nakosa tunguli tu.zari katka siku alizonifurahisha ni leo.......huyo binadamu hakujali una familia,ndugu,jamaa na marafiki akusitiri.
Hongera kwa kuchukua maamuz magum mana watoto wawili si mchezo
 
Back
Top Bottom