Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Kwan walishawahi hata kulala kitanda kimoja hawa watu??
Maaana hata chata za watoto zinakataa kataa kabisa
Wot i can tel it was one of the big bang kick for busness
Wajanja washatengeneza pesa wanabeba note kwny magunia
 
Enough is enough. The Bosslady kaamua kubwaga manyanga. Kavumilia alivyoweza kaona isiwe tabu kaamua kuachana na Diamond. Naamuunga mkono na ninamsifu kwa uvumilivu...gooo goo Zari goooooo kisicho riziki hakiliki. Haya kazi ni kwa wale watafutaji nafasi iko wazi.
Zigo la mavi sikuzote halibebeki mkuu, maana usipo lituwa kwa harufu basi utalishusha kwa uzito wake....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Daby Nakubaliana na WEWE KUWA, KUCHEAT KWA MWANAUME SIYO JAMBO LA AJABU NA WAPO WANAUME VIWEMBE KULIKO DIAMOND NA PIA DIAMOND INAVUMA KWA SABABU NI MTU MAARUFU

LAKINI...

UNAPOKUWA MAARUFU MAANA YAKE WEWE NI PUBLIC FIGURE, HVYO NI MUHMU UISHI KAMA KIOO CHA JAMII NA KUWA MTU WA MFANO.

KAMA ALISHNDWA KUJIZUIA BASI ANGECHEPUKA KWA STAHA ILI KULINDA HESHMA YA MKEWE IKIWEMO

1. KUEPUKA KUZAA NJE
2. KUTOGEUZA NYUMBA WANAYOISH NA MKEWE GUEST HOUSE

HATA WEWE Daby HAKUNA KTU KIBAYA KAMA KUJUA MKEO ANACHEPUKA KWENYE KTANDA MNACHOLALIA SKU ZOTE..


MFANO: UHUSIANO WA NAHREAL NA HAIKA, NI UHUSIANO WA MFANO, INAWEZEKANA NAHREAL ANA MADEMU WENGNE LAKN ANALINDA HESHMA YA MKEWE.. SASA HUYU MOND YEYE ANACHEPUKA SHAGHALABAGHALA MPK MKE ANADHARAULIKA.
I even you bro, kwa sababu ya kitanda.
 
Mmh chibu karuka mkojo Wa janaba kakanyaga Naniiii.......... Hivi nini vile?
 
Kuwa superstar kuna changamoto zake vbbgfg zinajileta usipokuwa makini utageuka hivyo.

Diamond yupo kwenye age ya kuruka, Zari yeye yupo kwenye age ya kutulia na kufarijiana You can guess the qoncequence...

Kwangu nadhani tutamwita jamaa malaya kwasababu anajulikana kutuzidi... ila kuwa side vbbgfg lipo saana mitaani...

Sipo vizuri kufuatlia maisha ya wasanii ila mahusiano mengi yanakuwa rooted na kazi.. na ya Mond naweza kuyaweka asilimia kubwa yalikuwepo kwasababu ya kazi zao na si upendo.
Huyu mtandale kazidi kujionesha wasanii mbona wengi kuna nahreel, jux.... wote wapo kwenye level ya kupata wadada anytime mbona hawavumi kama yeye
 
Happy for her afadhali sasa lile zipu mbovu afe mwenyewe na umalaya wake kile kibibi kimchekee tu mtoto wake kwa ufuska wake tunasubiri ushangiliaji haya wema danga lako hiloo mpira umerudi kwa kipa tutusa uwezavo
 
Mm simjui Zarina Hassan.Diamond anamjua Zarinah Hassan ,hali kadhalika Zari anamjua vizuri Naseeb Abdul/Diamond.



MAISHA NI SKUNK N PRETTY
 
Yaani zari alidhani dhambi ya kumuacha mume na kuchepuka na dogodogo ingemuacha salama? Machozi ya Ivan hayo bora angetulia na familia yake
Kama alipata wakati walisha achana nayo imekaa vipi asilaumiwe dada wawatu maisha ya ndoa hapana chezea ukikuta watu 10yrs mmeishi pamoja ni pongezi sana wengine mwezi hakuna ndoa
 
Back
Top Bottom