Hivi hutumia application gani ku jiedit hvo?Picha akiwa south huwezi ona haya
Ni shida imagine daimond angekuwa na mke, dah Mimi ctaki mwanaume mwenye watoto hvo Bora awe na watoto wakubwaWameona wote wapo single
Duh inabidi amuombe ushauri wema jinsi ya kukata utumbo tu loh
Watoto wakikua watakua wanakuja wenyewe
Ndio maana ni shida kuanzisha mahusiano na mtu aliyezaa hovyo hafu mkaachana watu wanakutana kwa kisingizio Cha co parenting.
Bora waliokwisha zaa waoane na mwenza mwenye watoto ili ngoma iwe droo, Ila mtu umeshazaa unataka kuoa ambaye Hana mtoto huo ni mtihani na vishawishi kwa usiye na mtoto na wewe utafte kupoza machunguKwa kweli, ukiwa na roho ndogo huwezi.
Aseee mpaka nashangaa[emoji849][emoji849]
Yule mtoto kafanana sana na don labda ndilo linamuuzi Dai[emoji16][emoji16]
Halafu mbona hana raha kabisa yaan
Huyu kafosiwa na mama ake buana, sio yy
Kweli ni rahisi kwa wao kuweka co-parenting style ambayo kila mmoja anaridhika nayo as anajua exactly viatu alivyovivaa mwenzie. Kuliko mtu ambaye hana mtoto, mara nyingi atawish kuwe na hali ambayo itamuweka yeye comfortable zaidi. Sema sasa kuoana wote wenye watoto nako changamoto zipo za kutosha tu, mwingine watoto wake ndiyo kila kitu afu wa mwenzie aaah. Na wengi wenye watoto hawataki kuoa/kuolewa na wenye watoto wenzao; na wana haki zote za kuchagua hivyo kiukweli. All in all ni kuomba tu Mungu upate partner asiye mbinafsi, na asiye na majereha ya moyo.Bora waliokwisha zaa waoane na mwenza mwenye watoto ili ngoma iwe droo, Ila mtu umeshazaa unataka kuoa ambaye Hana mtoto huo ni mtihani na vishawishi kwa usiye na mtoto na wewe utafte kupoza machungu
Hizo co parenting zinawezekana kwa wazungu huku bongo co parenting ni pamoja na kuendekeza uzinifu wanaume hawataki kutoa matumizi mpaka wakuzini tena na Sasa jinsi wanaume wanzaa hovyo hata na ma baby mama watano hafu anakuoa huna mtoto na anataka uwapende watoto wake wa nje, that's why naona ukishakuwa na watoto Bora utafte mwenzi mwenye watoto maana wote mumeshapitia changamoto sawa za mahusiano na mna experience sawa. Tena walioachana huwa hawapendi Wana machungu ya wenza wao. All in all hii kuzaa bila plan ni changamoto na kutesana kuanzia watoto kuathirika kisaikolojia Hadi watu wazimaKweli ni rahisi kwa wao kuweka co-parenting style ambayo kila mmoja anaridhika nayo as anajua exactly viatu alivyovivaa mwenzie. Kuliko mtu ambaye hana mtoto, mara nyingi atawish kuwe na hali ambayo itamuweka yeye comfortable zaidi. Sema sasa kuoana wote wenye watoto nako changamoto zipo za kutosha tu, mwingine watoto wake ndiyo kila kitu afu wa mwenzie aaah. Na wengi wenye watoto hawataki kuoa/kuolewa na wenye watoto wenzao; na wana haki zote za kuchagua hivyo kiukweli. All in all ni kuomba tu Mungu upate partner asiye mbinafsi, na asiye na majereha ya moyo.
Pesa huongezea mtu heshimaIla michepuko ya Diamond itafute pesa, ona mwenzao anavyoheshimiwa , anatreatiwa kama queen , kila sehem anapelekwa, khaa Zari Kweli kiboko ya ma slay queen leo Instagram kimyaaa Kiki ni Zari tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa yake imeshinda ana shadadia ya kakakeIskarioti kaziniView attachment 1621275
Mama MBAVU ZANGU!Huyu mwanae wa kiume anaonekana very cool
Ila Tiffa yupo kama bibi yake...[emoji23][emoji23]
Ndoa yake imeshinda ana shadadia ya kakake
Poleni kwa maumivu... Najua mnaumia sana.
Na yule manzi nimeamini bila Diamond hawezi kuwa maarufu. Mondi kampa kiki sanaHahaaa na zari atabeba maana anapenda umaarufu Sana na aliumiss kweli maana anapenda kuongelewa.