Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

123777252_352449069185720_4601321836808445800_n.jpg
124013104_2808601439423041_1147536681263541438_n.jpg
 
Aseee mpaka nashangaa[emoji849][emoji849]

Yule mtoto kafanana sana na don labda ndilo linamuuzi Dai[emoji16][emoji16]

Halafu mbona hana raha kabisa yaan

Huyu kafosiwa na mama ake buana, sio yy

Kwetu sisi ni raha tu full champagne [emoji1635]
 
Ila michepuko ya Diamond itafute pesa, ona mwenzao anavyoheshimiwa , anatreatiwa kama queen , kila sehem anapelekwa, khaa Zari Kweli kiboko ya ma slay queen leo Instagram kimyaaa Kiki ni Zari tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora waliokwisha zaa waoane na mwenza mwenye watoto ili ngoma iwe droo, Ila mtu umeshazaa unataka kuoa ambaye Hana mtoto huo ni mtihani na vishawishi kwa usiye na mtoto na wewe utafte kupoza machungu
Kweli ni rahisi kwa wao kuweka co-parenting style ambayo kila mmoja anaridhika nayo as anajua exactly viatu alivyovivaa mwenzie. Kuliko mtu ambaye hana mtoto, mara nyingi atawish kuwe na hali ambayo itamuweka yeye comfortable zaidi. Sema sasa kuoana wote wenye watoto nako changamoto zipo za kutosha tu, mwingine watoto wake ndiyo kila kitu afu wa mwenzie aaah. Na wengi wenye watoto hawataki kuoa/kuolewa na wenye watoto wenzao; na wana haki zote za kuchagua hivyo kiukweli. All in all ni kuomba tu Mungu upate partner asiye mbinafsi, na asiye na majereha ya moyo.
 
Hizo co parenting zinawezekana kwa wazungu huku bongo co parenting ni pamoja na kuendekeza uzinifu wanaume hawataki kutoa matumizi mpaka wakuzini tena na Sasa jinsi wanaume wanzaa hovyo hata na ma baby mama watano hafu anakuoa huna mtoto na anataka uwapende watoto wake wa nje, that's why naona ukishakuwa na watoto Bora utafte mwenzi mwenye watoto maana wote mumeshapitia changamoto sawa za mahusiano na mna experience sawa. Tena walioachana huwa hawapendi Wana machungu ya wenza wao. All in all hii kuzaa bila plan ni changamoto na kutesana kuanzia watoto kuathirika kisaikolojia Hadi watu wazima
 
Ila michepuko ya Diamond itafute pesa, ona mwenzao anavyoheshimiwa , anatreatiwa kama queen , kila sehem anapelekwa, khaa Zari Kweli kiboko ya ma slay queen leo Instagram kimyaaa Kiki ni Zari tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa huongezea mtu heshima
 
Back
Top Bottom