Umalaya wake umemponza, jitu gani halitaki kustick na mwanamke mmoja[emoji1745]Mwishowe waje wamuue kwa pressure maana tangu aanze drama na zari kina mobeto Hadi tanasha diamond Hana nuru kabisa usoni, mahusiano huwa ni mwiba mchungu
Hapo karibia na kwapani ni nini hicho nachokiona?Zari wa South na bongolandView attachment 1621361
Hawa wanawake watamtanguliza kuzimu asipokuwa makini Bora aachane na wanawake, aisee. Zarina karudi ana agenda yake ya Siri hapo.Umalaya wake umemponza, jitu gani halitaki kustick na mwanamke mmoja[emoji1745]
Labda nguo imetatukaHapo karibia na kwapani ni nini hicho nachokiona?
Haaahaaahaa[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]Binamu unajifanya kipofu au ?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio najikubali ni livo but hyo edit ya zari too much maana ni bonge tukunyema kabisa hao kina kim huji edit atleast wamefanya surgery hata ukiona kwa tv kwa show yao hawajabadilika Sana aisee.
Mtandaoni everything is fake wallah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile happy birthday yake ya juzi ile miaka aliyotaja itakuwa ni ya insta[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]Mfano hii na picha zake very tofauti, View attachment 1621365
Mmmm ngoja ninyamazeLabda nguo imetatuka
[emoji23][emoji23][emoji23]wa naija wanaita footballer age eti hyo loh. Ila kajitahidi kwa level hyo kuwa na hao watoto yet ku maintain sio mchezoIle happy birthday yake ya juzi ile miaka aliyotaja itakuwa ni ya insta[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]
Kwa hili nakubali [emoji3514][emoji3514][emoji23][emoji23][emoji23]wa naija wanaita footballer age eti hyo loh. Ila kajitahidi kwa level hyo kuwa na hao watoto yet ku maintain sio mchezo
Ni kweli yeye mnene na amejua watu watamuongelea sana ndio maana akavaa kata mikono ili mikono ionekane vyema. PR wake yuko vizuriNdio najikubali ni livo but hyo edit ya zari too much maana ni bonge tukunyema kabisa hao kina kim huji edit atleast wamefanya surgery hata ukiona kwa tv kwa show yao hawajabadilika Sana aisee.
Anapenda umaarufu Sana dada yetu, jinsi alivomwacha dai kwa ua jeusi, hakika nimejifunza maisha haya ni muhimu kuwa na akiba ya manenoKwa hili nakubali [emoji3514][emoji3514]
Kwa kujipenda na kwa umri wake namkubali sana
Tatizo nyoodoo[emoji57]
Na ametupa Cha kuongea maisha yalikuwa Yana bore sanaNi kweli yeye mnene na amejua watu watamuongelea sana ndio maana akavaa kata mikono ili mikono ionekane vyema. PR wake yuko vizuri
Hadi BBC mweeh[emoji848][emoji849]Anapenda umaarufu Sana dada yetu, jinsi alivomwacha dai kwa ua jeusi, hakika nimejifunza maisha haya ni muhimu kuwa na akiba ya maneno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila daimond amemuumiza Sana zarina aisee loh, dada kalia BBC machoziHadi BBC mweeh[emoji848][emoji849]
Anampenda sana Dai huyu mama ila dai hayuko kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila daimond amemuumiza Sana zarina aisee loh, dada kalia BBC machozi
Shida age difference yao ndio changamoto Diamond umaarufu na umalaya bado anao Sana hawezi kutulia leo au keshoAnampenda sana Dai huyu mama ila dai hayuko kabisa
Haya bhana rafik angu, wew endelea wahoji hao ma supa staaa....Wasitutshee [emoji16][emoji16][emoji16]Aaah nimezoea kusutwa mpaka nimekuwa sugu sasa[emoji28][emoji28][emoji16]
Mambo yapi ambayo diamond kafanya alafu kukawa Hakuna time nae?Kampa kiki au wamepeana. Diamond kafanya mangapi na hamna hata aliyekua na time naye. Check alivyokuja zari kila kona ni wao tu. Wale nyota zao zinang'aa wakiwa pamoja. Habari ndio hiyo