Duh! Kupenda Ni kupofu hayo Ni mahaba ingawa kwa upande wangu sioni tatizo kwa huo mwili me napenda mwanamke mwenye mwili Kama huoNi kweli yeye mnene na amejua watu watamuongelea sana ndio maana akavaa kata mikono ili mikono ionekane vyema. PR wake yuko vizuri
Homework hiyo yatafuteMambo yapi ambayo diamond kafanya alafu kukawa Hakuna time nae?
Si kama wewe kwa diamond hata akipoop utasema cakeDuh! Kupenda Ni kupofu hayo Ni mahaba ingawa kwa upande wangu sioni tatizo kwa huo mwili me napenda mwanamke mwenye mwili Kama huo
Si kama wewe kwa diamond hata akipoop utasema cake
Nyani halioni kaliole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo kwake kila kitu ni sawa ila kwako kwake ni haramu na mlalamikaji hakubali kushindwa
ππππ Bora aiseeeShida huwa editing zao na kufanya wanawake wengine wajione Wana madhaifu ndio maana UK wanakuja na Sheria za Mambo ya editing, maana zinawaathiri wengi kisaikolojia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fanya mazoezi jombaanashangaa hao wanaoa Watatu wakati mi napiga kamoja tuuu hapo nitalala nakoroma jinereta ikasome
πππππKingbaeKwani zari si aliolewaga jamani! ndoa na king bae ilipotelea wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23] hao wanawake wanachepuka kwa nature ya Hawa wanaume wetu wa sikuhizi kuridhisha mke mmoja shughuli sembuse watatu aisee ni ngumu Sana, labda hao wanawake wanachepuka na wanataka tu waonekane wameolewanashangaa hao wanaoa Watatu wakati mi napiga kamoja tuuu hapo nitalala nakoroma jinereta ikasome
πππππππWamerudiana hajajirudisha , Jaman warumi leo Nina raha mwenzenu , Niko zangu nakunywa tu Hennessy chumban , Zari ashike tu mimba nyingine , pesa za Kulea tunazo hatutaki child support sie[emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]Aisee nimeshangaa Sana hafu kumbe ni mfupi hivo huo mkono tu ni paja la mtu
Hili limeongelewa sana katika mada za kuoa ''Single mothers'' au tuseme sasa kuoa/kuolewa na ''single parent''Ndio maana ni shida kuanzisha mahusiano na mtu aliyezaa hovyo hafu mkaachana watu wanakutana kwa kisingizio Cha co parenting.
Ni kweli hasa huku Africa maadili na umalaya ni sifa na kutokujiheshimuHili limeongelewa sana katika mada za kuoa ''Single mothers'' au tuseme sasa kuoa/kuolewa na ''single parent''
Lazima wapashe kiporo na mzazi mwenzie
mtanzania MPE tu heading habari kamili anayo mwenyewe.cariha me huo upuuzi sifanyi ndio maana sipendi kuwa na uhusiano na wanawake waliozalishwa me nimejiuliza kimya kimya hivi mondi angekuwa na girlfriend huyo Zari angeenda home kwa mondi au angekuja na watoto? me nazani kuja Jambo Zari amedhamilia anaona hii ndio chance ya pekee kabisa lazima aitumie vizuri ili kuwin moyo wa diamond