Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Ni kweli yeye mnene na amejua watu watamuongelea sana ndio maana akavaa kata mikono ili mikono ionekane vyema. PR wake yuko vizuri
Duh! Kupenda Ni kupofu hayo Ni mahaba ingawa kwa upande wangu sioni tatizo kwa huo mwili me napenda mwanamke mwenye mwili Kama huo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo kwake kila kitu ni sawa ila kwako kwake ni haramu na mlalamikaji hakubali kushindwa
Nyani halioni kaliole[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida huwa editing zao na kufanya wanawake wengine wajione Wana madhaifu ndio maana UK wanakuja na Sheria za Mambo ya editing, maana zinawaathiri wengi kisaikolojia
😂😂😂😂 Bora aiseee
 
nashangaa hao wanaoa Watatu wakati mi napiga kamoja tuuu hapo nitalala nakoroma jinereta ikasome
[emoji23][emoji23][emoji23] hao wanawake wanachepuka kwa nature ya Hawa wanaume wetu wa sikuhizi kuridhisha mke mmoja shughuli sembuse watatu aisee ni ngumu Sana, labda hao wanawake wanachepuka na wanataka tu waonekane wameolewa
 
Wabongo bhana,

Mama kapeleka watoto kwa baba yao, oh, kick!!!

Cha ajabu ndo hao hao waliokuwa wanasema Zari amezuia watoto kumuona baba yao, au ndo hao hao waliokuwa wanasema Diamond ametelekeza watoto wake!!

Very stupid!!!
 
IMG_20201107_211223.jpg
ukoo umekamilka
 
Wamerudiana hajajirudisha , Jaman warumi leo Nina raha mwenzenu , Niko zangu nakunywa tu Hennessy chumban , Zari ashike tu mimba nyingine , pesa za Kulea tunazo hatutaki child support sie[emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂
 
Ndio maana ni shida kuanzisha mahusiano na mtu aliyezaa hovyo hafu mkaachana watu wanakutana kwa kisingizio Cha co parenting.
Hili limeongelewa sana katika mada za kuoa ''Single mothers'' au tuseme sasa kuoa/kuolewa na ''single parent''

Lazima wapashe kiporo na mzazi mwenzie
 
Basichana sijui mabinti.. wasiofahamu.. ya mapenzi.. utawajuwa tu.. kama hamuwezi kubaweka wanaume kwa mikono.. hamushangazi kumchambua mwanamke.. eti Diamond hamupendi... shooo. kama hampendwi nyie.. mumfikiri kuona kamkumbatia muda yote ndio kuonyesha kupenda.. acheni wivu.. mukamate wenu mupendweeeee.. ila mumeshushuka wengi humu.. eti mikono.. kwani mtu hanenepi!!!! kutofautisha picha ya miezi nyuma na sasa.. ni wivu tu... nabapa pole nyinyi..
 
Hili limeongelewa sana katika mada za kuoa ''Single mothers'' au tuseme sasa kuoa/kuolewa na ''single parent''

Lazima wapashe kiporo na mzazi mwenzie
Ni kweli hasa huku Africa maadili na umalaya ni sifa na kutokujiheshimu
 
cariha me huo upuuzi sifanyi ndio maana sipendi kuwa na uhusiano na wanawake waliozalishwa me nimejiuliza kimya kimya hivi mondi angekuwa na girlfriend huyo Zari angeenda home kwa mondi au angekuja na watoto? me nazani kuja Jambo Zari amedhamilia anaona hii ndio chance ya pekee kabisa lazima aitumie vizuri ili kuwin moyo wa diamond
mtanzania MPE tu heading habari kamili anayo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom